Mabilionea wa Mwanza respect and silence

King musukuma hivi niyule wa bangi bungeni au. Eti ganja anapeleka mbona utetezi kibao au ndo utajiri wa ganja maana aliisifia akataja na NAIROBI kenya. Na mirungi sijui nini vile
yule jamaa anahela tofauti na umri wake, Mwanza anamiliki mtaa
 
Huyo jamaa anamiliki mtaa mwanza kwa hela ya bangi na mirungi au hujafafanua hiyo pesa nibiashara ipi........... Soma uzi mkuu
 
Bila shaka umelewa gongo ya Bugarika, Nyakabungo au Bugando nkali?
 
Mkuu Acha Ubishi Usio Na Maana Kuna Moja Linakwenda Uganda Alilinunua Billioni Nne
Unajua saman ya chumba kimoja cha duka ndan ya mwanza hoteli.?
Vya ndan ni m.10 per year na nje ni m.15 bado kumbi za sherehe , casino,migahawa, hotel na ofis mbalmbali .
Em tasmin mwenyewe afu linganisha na hicho kijimeli root moja kinasafir kwa m. 6 ujatoa mafuta,ushuru na posho za wafanyakazi
 
Rock city ambayo haiongelewi !!!
 

Attachments

  • 1461534312153.jpg
    62.4 KB · Views: 101
  • 1461534360403.jpg
    62.4 KB · Views: 98
  • 1461534398237.jpg
    61.3 KB · Views: 106
  • 1461534418399.jpg
    68.8 KB · Views: 105
Niliona tangazo moja la kiwanja kwenye kijarida bei ya chini ilikua $200,000 kwa square meter chache tu,vp mafogo ya capri?
 

Attachments

  • 1461538608599.jpg
    62.4 KB · Views: 102
  • 1461538653955.jpg
    64 KB · Views: 102
Mkuu Jamaa Anazo Nyingi Asilimia Kubwa Ya Meli Unazoziona Ziwa Victoria Ni Za Chacha Gitano Anazo Za Abiria Na Mizigo ... Halafu Unaonekana Una Ubishi Wa Asili Hebu Tuambie Huo Ukweli Kuhusu NG'OLO SAFARIS
 
Mtore Auto Parts ... Mwingiro Auto Parts ... Nyamigogo Auto Parts ... Itetemia Auto Parts .,
 
Kuna mzee 1 anaitwa boni Ndio mwenye pesa ndefu kuliko hata huyo gachuma.anagolofa ndefu kuliko yeyote hapa mwanza.na nimtu simple sana.gachuma ameshare sana kama lakairo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…