bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Wanaopiga pesa wengi ni branches za kampunin za dar na nje ya nchi,hela zinapita tuuuu ,wanaopiga the ultimate share hawapo arusha!!!Kwenye kuchangia pato la taifa arusha ipo chini ya shinyanga na iringa, au utajir wenu ni zile kelele za subaru second hand mkuu?
Kuna zile story kua zakaria wa tarime nae ana trillion mbili700bn ndio mtaji wa bakhresa .....muwe mnaandika mambo ya ukweli sio kusema kitu ambacho hamkijui....hata kwenye top 10 ya matajiri wa tz hayupo sasa hiyo 700bn ni hela ya zimbabwe..mengi na kufanya biashara n kumiliki viwanda zaidi ya miaka 25 ndio kafikisha utajiri wa 500bn.
Ni nan????Namfahamu Mkuu
Ndo kaz ya wapambe. Nakuchana huku namwonesha boss. Bos utasikia anasema muhudumu sikiliza kijana anataka nini.Naona humu watu wanatoleana povu kwa hela za watu.
Kweli kabisa.Ndo kaz ya wapambe. Nakuchana huku namwonesha boss. Bos utasikia anasema muhudumu sikiliza kijana anataka nini.
Sent from my PTM-Z-mini using JamiiForums mobile app
Bwiru mbona hzo gorofa 50 umedanganya coz makazi ya bwiru kwa magorofa hazifiki 60 nyumba nyingi ni za chini but nzuri sasa hivi ndio wameanza kujenga magorofa kuleBaraka Ni tajiri sana tena sana, anamiliki gorofa nying tu mjin Mwanza, pia ana nyumba nying sana zaid ya 30 gorofa moja moja zaid ya 50 bwiru, pia ndo mmliki wa plant nying za migod Tanzania ndo mwanzilishi wa system ya marudio Mwanza, pia ndo mmliki wa busolwa gold mine, anachimba kama GGM kwa sasa amenunua mtambo wa kusaga mawe ya dhahabu wenye thamani ya zaid ya 35bil, hana mkopo bank, anamagari ya kutembelea ya gharama kubwa, ipo hammer, BMW x6 &5, infinite, v8 zaid ya Tatu, kluger new model, jeep, volkswagen, Nissan fuga, Markx, pia alinunua fortuner 10 kwa ajiri ya wafanyakazi wake wa mgodin, anakadiliwa Kuwa na utajir wa 700bill, ila hana mbwembwe kama matajir wa arusha, mkitaka evidence ya vitu nilivyotaja semen nitawarushia
BugomolaNi nan????
Hahah bas atuwez ongea ujui kitu. Watu kivuli wanakuchanganya dunia iko waz kwa wenye machoBugomola
Mkuu Najua Kila Kitu Mmiliki Halali Ni Riz Moko Na Mmiliki Kivuli Ni Bugomola Kuanzia Kwenye Maduara Mpaka Hotel ... Halafu Hebu Tupe Huo Ukweli Kuhusu NG'OLO SAFARIS ...Hahah bas atuwez ongea ujui kitu. Watu kivuli wanakuchanganya dunia iko waz kwa wenye macho
Sent from my PTM-Z-mini using JamiiForums mobile app
Baraka ndio mtanzania anae miliki mgodi mkubwa na unao tumia technology za kisasa kabisa.Kumilik mgod kwan ni jambo kubwa. Tatizo ujajua mgod gan.
Hizo 700bn za Bakhresa ni mtaji(working capital) au ni total assets?700bn ndio mtaji wa bakhresa .....muwe mnaandika mambo ya ukweli sio kusema kitu ambacho hamkijui....hata kwenye top 10 ya matajiri wa tz hayupo sasa hiyo 700bn ni hela ya zimbabwe..mengi na kufanya biashara n kumiliki viwanda zaidi ya miaka 25 ndio kafikisha utajiri wa 500bn.
Hongera na wewe kidume kuendelea kuwasifia wanawake wenzio.Mtaendelea kuwaongelea wanaume wenzenu hadi mtakapofariki.Shwaini nyie.
Nipo hapa nakula wali nazi,karibu upakuliwe mkundunguyangu wewe.Hongera na wewe kidume kuendelea kuwasifia wanawake wenzio.
Wanawake mnamaneno.Nipo hapa nakula wali nazi,karibu upakuliwe mkundunguyangu wewe.
Hivi siku ile ulivyogongwa na mzee Gachuma pale Mwanza hoteli ulilipwa.Maana ilikuwa ni ajali mbaya sanaWanawake mnamaneno.
Tafsda ya kitotttoooooooooo ngoja wakupige ban.
Mtu mzima dawa. Bahat nzur gari nilikwepa akagongwa mamako.Hivi siku ile ulivyogongwa na mzee Gachuma pale Mwanza hoteli ulilipwa.Maana ilikuwa ni ajali mbaya sana