Shabiby nae unamuita tajiri wa Dodoma? Hivi kumbe Gairo ni Dodoma? Nijuavyo Shabiby ni tajiri wa Gairo(Morogoro) na siyo Kibaigwa(mwanzo mwa Dodoma)Upo wrong mkuu,,hapo ambe upo sahihi ni bhanji tuu,,hao wengine wote makanjanja,,huyo boss ngasa hamna kitu,huyo kifimbo nakaa nae mtaa mmoja kilimani,peter fashion hawez mfikia hata masanja mkandamizaji,,,,sasa nakupa list ya wachache ninaowafahamu
1…Bhanji
2…maneno
3…shabiby
4…saldina
Wamewekeza wap? Pesa nivuwekezajiAisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida
Nakutajia baadhi yao tu
A Bhanji
B Boss Ngasa
C Peter Fasion
D Kifimba na Kimbinyiko
Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Mtu kama Gwajima hata akitembelea kifaru siwezi kushangaa, nini Hummer.Wapo mkuu kwa mwanza wapo baraka na dar yupo gwajima mtu wa saa yake
Wachaga mumeanza kujisifiaKweli kabisa ni wachaga watupu,niliwahi kuishi Dodoma,Mwez Desemba mji hupooza wote wanaenda kula Mbege,tambiko la mwisho wa Mwaka Uchagani.
Hivyo ni kweli Dodoma ina watu wako vizuri, yaani wana mkwanja,lakini ni Mangi
Kuna utajiri halafu kuna hadhi.Kwanini usishangae, nasikia jamaa et yuko top ten kwa matajir tanzania
Duh wewe utakuwa unajua mengi zaid hebu funguka mkuu, kwahiyo ukiwa na hela ya kununua humer usinunue kisa unaogopa kashifa?Kuna utajiri halafu kuna hadhi.
Hawa matajiri wasio na hadhi kifaransa wanaitwa "nouveau riche", matajiri wapya hawajui kwamba tajiri kutembelea Hummer ni kashfa.
Suala si kuogopa kashfa,nani kasemakuogopa kashfa?Duh wewe utakuwa unajua mengi zaid hebu funguka mkuu, kwahiyo ukiwa na hela ya kununua humer usinunue kisa unaogopa kashifa?
Hivi Kimbinyiko jina lake asili ni nani?Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida
Nakutajia baadhi yao tu
A Bhanji
B Boss Ngasa
C Peter Fasion
D Kifimba na Kimbinyiko
Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Hao matajiri au wachuuzi/wafanyabiashara ya mabasi,wangekuwa na viwanda ndio ningejua matajiri,je kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa wamo?Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida
Nakutajia baadhi yao tu
A Bhanji
B Boss Ngasa
C Peter Fasion
D Kifimba na Kimbinyiko
Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Shabiby nae unamuita tajiri wa Dodoma? Hivi kumbe Gairo ni Dodoma? Nijuavyo Shabiby ni tajiri wa Gairo(Morogoro) na siyo Kibaigwa(mwanzo mwa Dodoma)
Umeelewa ulichokiandika hapaSuala si kuogopa kashfa,nani kasemakuogopa kashfa?
Hiyo migari wananunua watu ambao hawajapata elimu kujua habari za mazingira na carbon footprint.
Ni watu wenye hela lakini hawana sophistication.
Helani kitu kimojana sophistication ni kitu tofauti,unaweza kuwa na hela halafu hujui vitu.
Hapo unauliza au unatoa kauli?Umeelewa ulichokiandika hapa
Yah.. Nashangaa sipo kwenye list..Nawewe umo?