Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,324
- 6,140
Naunga mkono hojaKuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!
Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu ✌🏽
Wana matatizo mtu humjui eti unapanga kupigana nae.Kuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!
Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu ✌🏽
Kabla ya kufika hapo, mtu usiyemjua anakupandishaje hasira namna hiyo?Wana matatizo mtu humjui eti unapanga kupigana nae.
Nakuona Francis cheka,How many punches you plannin' to throw kwa wapinzani before the year wraps?bifulization season..
Sijaona mabifu yenu wadada😅bifulization season..
We ubuyuu tuuh 😁😁Kuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!
Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu ✌🏽
That’s why I don’t beef online, anymore.Habari zenu 🖐
Naomba niwasimulie story fupi iliyotokea kipindi flani cha nyuma.
Kuna siku flani tulikuwa tumekaa na washkaji na baadhi ya mademu bac tunapiga story, jamaa mmoja baada ya kuona mademu akaanza sifa za kuji-mwambafy, bac yule jamaa nikamtuliza vizur tuu kwa upendo, bhana acha anitukane mbele za watu na kujifanya kama anataka kunipiga.
Mimi nikamsoma nikajua tuu huyu hana lolote ni muoga tuu sema anafanya hivo kisa ameona mademu anatafuta sifa, ulimbukeni wa ajabu sana.
Mimi sikufanya chochote nikamwambia bac yaishe, umeshinda.
Nilim-mind sana, tulivotoka pale kesho yake nikamfata personally alikuwa peke yake kwaio tulikuwa peke yetu "Ntu mbili" mm na yeye, nikamwambia "mwanang jana si ulitaka unipige, nipige bac asaiv" akaanza kujifanya kama haelewi, nikamwambia tena kwa sauti ya juu "nataka tupigane kama ulivotaka tupigane jana, si ulikuwa unatafuta sifa kwa wale mademu njoo bac asaiv tuzichape ntu mbili" jamaa akaanza kuomba msamaha mwanang na kusema hakuwa serious eti alikuwa anatania.
Hapa tunajifunza nini?? "The more quiet the man is, the more dangerous he is"
Kuna thread za mabifu nimeona zimeongezeka humu JF tokea juzi na watu wakitaka kupigana, Kwenu UMUGHAKA Hance Mtanashati GENTAMYCINE LIKUD Mjanja M1 na wote weny mabifu, ukiona mtu anakuja kweny uzi wako na anaanza kukutukana na kukuoneshea ubabe bila sababu achana nae msianze kupanga siku za kukutana kupigana vitasa, wanaoweza hayo mambo huwanaga mdomo wa kujitambatamba na kujionesha kwa watu.
Mkuu Tuishi kwa Upendo.Kuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!
Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu ✌🏽
Naam, na babe wangu hapa basi.We ubuyuu tuuh 😁😁
Naam.Mkuu Tuishi kwa Upendo.
KAMA KUNA MTU ANALETA SHIDA TUNAMU-IGNORE.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Upheld and seconded brother.That’s why I don’t beef online, anymore.
Most folks are pussies. And I’m old school.
Ukinizingua tukikutana, it’s on-site.
Disrespect has no expiry date.
I’d rather people say it to my face halafu tuone kama mtu atarudi na meno yake nyumbani….