Mabibi na Mabwana!!!!!

Mabibi na Mabwana!!!!!

aisee First Born nashukur addicts tunaongezeka jamvini..jana nilipo kuona kwangu nilijua mwenyeji... Dah! 128 post in hours... your are a reflection of mimi kabisa...Karibu saaana... and enjoy...
usijali ashadii, tuko pamoja sana. Nilishakuwa addicted kabla ya ku log in kwa kujisomea, lakini naona kwa michango pia itakuwa sio mbaya.
 
.............milele amina....................karibu sana First Born....................karibu sana jamvini......................jisikie uko nyumbani,hawajambo utokapoooo......................karibu pia upakatwe......................swali,je? Unapakatika?................ushawahi kupakatwa.......................,je? Wewe ni mtoto mdogo?.....................ungependa kuwa mdogo kusudi upakatwe....................,je?.............JF itakupakata kama unapakatika?...................subiri utaona........na taratibu fata,kanuni zijue.................kupakatwa raha..................karibu sana
 
mhhhhhhhhrrrrraaaaaha! Hapa sitoki.
 
aisee First Born nashukur addicts tunaongezeka jamvini..
jana nilipo kuona kwangu nilijua mwenyeji... Dah!
128 post in hours... your are a reflection of mimi kabisa...

Karibu saaana... and enjoy...

Mhhhhh! Ashadiii, FF and FB beautiful triplets from different mothers 🙂
 
karibu, wewe ndo mjanja uliingia ndani then ndo unabisha hodi, welcome
 
Poa First Born,naona kasi yako si mbaya jamvini.
Nahisi ni mwathirika mmoja wapo wa jamvi ingawa mwanzoni nilijifanya sitaingia, eti nitakuwa bize na Fb, nikaona sitakuwa msomi bali mmbea.
 
Back
Top Bottom