Mabere Marando njoo utueleze ya Ulimboka...

Wanaotumia propaganda za kujeruhiwa kwa Dr. mnatuweka kwenye mashaka kama kweli mnalitakia amani taifa!!. Hii siyo hoja ya kuwafanya watu waamini kwenye malengo yenu.
 
Kumbe mmetaharuki hadi hamuwezi kutawala sasa. sikujua kama niwaoga namna hii

Sisi ni waoga sana inapokuja maisha ya watanzania mnaowaweka rehani kwa matakwa yenu ya kimapato tu. Kuna watu wanajulikana Tanzania hii kuwa wanaweza kufanya chchote wahakikishie wanaingiza kipato, kuuwa kwao kwa ajili ya kipato ni jambo dogo sana, jee, huwajui?
 
Ninawafahamu
1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Abdulrahman Kinana
3. Rostam Azizi
4. Edward Lowasa
5. Salma Kikwete
6. Benjamin William Mkapa
7. Said Mwema
8. Nape Nnauye
9. Ridhiwan Kikwete
10. Anna Mkapa
11. Mizengo Pinda
12. Mama Kiroboto
13. William Lukuvi
14. Afande Kova
15. na wengine wengi wa aina hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom