dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,597
- 60,826
nimecheka kichizi hapaekseli zake zinatanuka kupungua
nimecheka kichizi hapaekseli zake zinatanuka kupungua
Na ni kweli yapo ya SGR na MGR mfano ya MGR yalikuwa yanafanyiwa test juzi kutoka dar kwenda morogoro na kurudi tena dar.Yaani hii nchi ni kichwa cha mwendawazimu,wizara,TRC,Msemaji wa Serikali na Raisi kila mtu anaongea yake anayoyajua kuhusu hayo mabehewa
Nchi ishakua ya kipuuz sana hii yaan Samia haiko hata sababu moja ya kumfanya kuendelea kuwa rais hata kesho,ni km ni rais asiejua nini kinaendelea ila anaishia kuletea report mezani na anapangiwa vya kuongea
TRC inasema hayo ni mabehewa ya SGR afu leo Wizara inamjibu Heche Twitter wanasema eti hayo mabehewa ni ya MGR cjui ushuzi gan
Hayo ndiyo tumeuziwa kwa zaidi ya sh bilioni kwa behewa moja?Kuna kitu hapa natamani nikifahamu yawezekana uelewa wangu mdogo.
Wakati naelekea zangu Kariakoo maeneo ya Puma niliona mabehewa yale niliyaona kwenye TV na mitandao ya kijamii yakiwa juu ya reli MGR (Reli ya Kigoma-Mwanza)Kama ni kweli yale ndio ya kisasa imekaaje yamefit kwenye hio reli?
Ikumbukwe reli ya SGR ni pana kuliko reli ya zamani au hizo ekseli zake zinatanuka kupungua!
Ila naona kuna mchezo tunachezewa na hawa viongozi wetu.
Watayahamishaje kutoka yalipo sasa kwenda kwenye sigara (kama anavyotamka mzee jirani yangu Mkude mstaafu wa TRC)Na hiyo adjstment haihitaji hata wataalamu kutoka nje. Washua wa ndani tu walioko karakana ya reli morogoro watafanya
Niliuliza swali hili siku ya Ijumaa pia sikupata majibuKuna kitu hapa natamani nikifahamu yawezekana uelewa wangu mdogo.
Wakati naelekea zangu Kariakoo maeneo ya Puma niliona mabehewa yale niliyaona kwenye TV na mitandao ya kijamii yakiwa juu ya reli MGR (Reli ya Kigoma-Mwanza)Kama ni kweli yale ndio ya kisasa imekaaje yamefit kwenye hio reli?
Ikumbukwe reli ya SGR ni pana kuliko reli ya zamani au hizo ekseli zake zinatanuka kupungua!
Ila naona kuna mchezo tunachezewa na hawa viongozi wetu.
Matarajio yatu ni haya👇, lakini......Treni ya mwendo kasi ya kinyonga
Ekseli zake ni za elastiki zinavutika kulingana na upana wa reli, usiwe na shaka tayari mamefiti kwenye SGR.Kuna kitu hapa natamani nikifahamu yawezekana uelewa wangu mdogo.
Wakati naelekea zangu Kariakoo maeneo ya Puma niliona mabehewa yale niliyaona kwenye TV na mitandao ya kijamii yakiwa juu ya reli MGR (Reli ya Kigoma-Mwanza)Kama ni kweli yale ndio ya kisasa imekaaje yamefit kwenye hio reli?
Ikumbukwe reli ya SGR ni pana kuliko reli ya zamani au hizo ekseli zake zinatanuka kupungua!
Ila naona kuna mchezo tunachezewa na hawa viongozi wetu.
Mzilankende Mnyago Asingekubali Huo UpuuziR.I.P Magufuli
MfuateR.I.P Magufuli
Haa Hao Ndiyo Wanaondoa Kinu Juani Kisijekupasuka Wakati Wa KutwangaSubiri Msigwa au Shaka Hamdu Shaka wakuletee nondo
Axle ya elastic????Ekseli zake ni za elastiki zinavutika kulingana na upana wa reli, usiwe na shaka tayari mamefiti kwenye SGR.



Walisema yote ni mapya na wakatoa ONYO dhidi ya upotoshaji, kwinini ilikuwa chungu lakini taliimesa huku tumefumba macho badala ya mdomo!No hakuna mchezo wowote. Siku ile yanapokelewa mabehewa 'mapya' ya SGR, pia yalipokelewa mabehewa used 46 ya standard gauge railway.
P
Ni kweli budget ni ya iphone 14 ila ukitoa 4M yote wewe hupati genji, style ya manunuzi bongo always ni overstating kwahio lazma utaandikia mchongo upewe 6M ili hio excess uipate. Ikitokea mtu aliyeweka order alishafunga mkataba wa 4M na akaanza malipo ya awali namna ya pekee ni kuvuruga mkataba ili umpore tender 😀 ili ukanunue simu ya bei rahisi hata kwa 2M chinese clone ili uweze kula 2M ya genji.Yaani inauma kuona kodi zinavyochezewa vila huruma .
Yaani ingekuwa ni mimi naenda kununua alafu hela yangu ninayo siwezi kununua version ya WW II wakati modern train zipo au tulilazimishwa.
Ni sawa unabajeti ya kununua iPhone 14 na tayari umenunua chaja yake alafu unafika dukani unanunua Tecno P5
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Ni upuuzi kumkumbuka yule bwana. Huenda angetuletea mikokoteniR.I.P Magufuli
Kwa hiyo baada ya wananchi wazalendo kupiga kelele mkaenda kuyafanyia adjustment ili yatumike kwenye reli ya zamani? Maana hatuna taarifa ya kununuliwa kwa mabehewa ya reli ya zamani. Ndio mjue ccm huwa inacheza na akili za wa tz. Ndio maana mwamba alitaka kuua upinzani mambo kama haya yasihojiwe popotemabehewa yote yanaweza kutumika kwenye reli yo yote iwe ile ya zamani, cape gauge (kama tazara) au sgr. Hata haya ya reli ya zamani yalipoletwa katikati ya miaka ya 1970 huko yalikotoka yalikuwa yanatumika kwenye gauge pana tofauti na yetu.
Kitu ambacho hufanyika ni kufanya adjustment kwenye bog (kwenye matairi yake) unaweza kusema ni kwenye exel kunafanywa adjustment kutanua matairi yakae kwenye muundo wa reli unaotaka kama sgr au kupunguza ili iendane na reli ya zamani au cape gauge. Hayo ya sgr itakapofika wakati yanatakiwa kutumika, adjustment hiyo itafanyika ili yafit kwenye sgr.
Na hiyo adjstment haihitaji hata wataalamu kutoka nje. Washua wa ndani tu walioko karakana ya reli morogoro watafanya
Axle ipo rigid ile adjustment unafanyaje? Wakubali wamechemsha tu specifications anapewa manufacturer kabla hajaanza kuunda kitu wawadanganye wengine.Kwa hiyo baada ya wananchi wazalendo kupiga kelele mkaenda kuyafanyia adjustment ili yatumike kwenye reli ya zamani? Maana hatuna taarifa ya kununuliwa kwa mabehewa ya reli ya zamani. Ndio mjue ccm huwa inacheza na akili za wa tz. Ndio maana mwamba alitaka kuua upinzani mambo kama haya yasihojiwe popote
R.I.P Magufuli