ASIE NA MAKUU
Member
- Aug 10, 2021
- 39
- 65
Kuna kitu hapa natamani nikifahamu yawezekana uelewa wangu mdogo.
Wakati naelekea zangu Kariakoo maeneo ya Puma niliona mabehewa yale niliyaona kwenye TV na mitandao ya kijamii yakiwa juu ya reli MGR (Reli ya Kigoma-Mwanza)Kama ni kweli yale ndio ya kisasa imekaaje yamefit kwenye hio reli?
Ikumbukwe reli ya SGR ni pana kuliko reli ya zamani au hizo ekseli zake zinatanuka kupungua!
Ila naona kuna mchezo tunachezewa na hawa viongozi wetu.