Mabehewa ya SGR kwenye reli ya MGR

Mabehewa ya SGR kwenye reli ya MGR

Kuna option ya kuongeza upana wa matairi ya treni au kupunguza
Yaani inauma kuona kodi zinavyochezewa vila huruma .
Yaani ingekuwa ni mimi naenda kununua alafu hela yangu ninayo siwezi kununua version ya WW II wakati modern train zipo au tulilazimishwa.
Ni sawa unabajeti ya kununua iPhone 14 na tayari umenunua chaja yake alafu unafika dukani unanunua Tecno P5

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Kwa hio unataka kuniambia kuwa yalikuwa yanatumika kwenye reli ya MGR hivyo baada ya kununuliwa inabidi yafanyiwe adjustment ili kuendana na reli tuliojenga.
Sasa swali la kujiuliza ina maana huko kiwandani hawakupeleka specification za reli yetu ikoje? Ili ikifika Bandarini ipachikwe kwenye reli yake? .Kuna haja gani ya kununua kitu kipya alafu uje ufanye modification kabla ya kutumia

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
viwanda vyote wanapotengeneza options zote wanaziangalia na wanaziweka ili mteja afanye yeye mwenyewe dharura ikitokea wala si kitu cha ajabu, duniani kote kinajulikana. pengine wewe ni mara ya kwanza kujua na utapinga ukweli. Ndiyo sababu kuna wakati mabehewa ya TAZARA (cape cauge) ilishutumiwa kwamba zambia wanayatumia kwenda kubebea mizigo msumbiji na SA
 
Engineer &Banker Masanja Kadogosa alizingatia Joint Expansion, kwaiyo usihofu tupo vizuri!🤣🤣🤣
Wanzanzibara safari hii tumeshikwa pabaya!!
 
viwanda vyote wanapotengeneza options zote wanaziangalia na wanaziweka ili mteja afanye yeye mwenyewe dharura ikitokea wala si kitu cha ajabu, duniani kote kinajulikana. pengine wewe ni mara ya kwanza kujua na utainga ukweli. Ndiyo sababu kuna wakati mabehewa ya TAZARA ilishutumiwa kwamba zambia wanayatumia kwenda kubebea mizigo msumbiji na SA
Reli za SADC ikiwemo hio Zambia ni ya aina moja, ndio maana kuna train ya kitalii ilitoka Afrika ya kusini hadi Dar kwa hio kusema kulikuwa na kashfa utakuwa unakosea

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Engineer &Banker Masanja Kadogosa alizingatia Joint Expansion, kwaiyo usihofu tupo vizuri!
Wanzanzibara safari hii tumeshikwa pabaya!!
Masanja ka graduate wapi hiyo degree ya engineering?
 
viwanda vyote wanapotengeneza options zote wanaziangalia na wanaziweka ili mteja afanye yeye mwenyewe dharura ikitokea wala si kitu cha ajabu, duniani kote kinajulikana. pengine wewe ni mara ya kwanza kujua na utainga ukweli. Ndiyo sababu kuna wakati mabehewa ya TAZARA ilishutumiwa kwamba zambia wanayatumia kwenda kubebea mizigo msumbiji na SA
TAZARA ni SGR reli ya kati ni MGR
 
Kuna kitu hapa natamani nikifahamu yawezekana uelewa wangu mdogo.

Wakati naelekea zangu Kariakoo maeneo ya Puma niliona mabehewa yale niliyaona kwenye TV na mitandao ya kijamii yakiwa juu ya reli MGR (Reli ya Kigoma-Mwanza)Kama ni kweli yale ndio ya kisasa imekaaje yamefit kwenye hio reli?

Ikumbukwe reli ya SGR ni pana kuliko reli ya zamani au hizo ekseli zake zinatanuka kupungua!

Ila naona kuna mchezo tunachezewa na hawa viongozi wetu.
Mchezo unachezwa na hao wapotoshaji...hizo behewa sio za sgr ila wanazitangaza kama ndo behewa mpya za sgr
 
Hebu tupeni na maana ya MGR maana SGR tumeshaijua
 
Kuna kitu hapa natamani nikifahamu yawezekana uelewa wangu mdogo.

Wakati naelekea zangu Kariakoo maeneo ya Puma niliona mabehewa yale niliyaona kwenye TV na mitandao ya kijamii yakiwa juu ya reli MGR (Reli ya Kigoma-Mwanza)Kama ni kweli yale ndio ya kisasa imekaaje yamefit kwenye hio reli?

Ikumbukwe reli ya SGR ni pana kuliko reli ya zamani au hizo ekseli zake zinatanuka kupungua!

Ila naona kuna mchezo tunachezewa na hawa viongozi wetu.
Picha mkuu.
 
Back
Top Bottom