mabehewa yote yanaweza kutumika kwenye reli yo yote iwe ile ya zamani, cape gauge (kama tazara) au sgr. Hata haya ya reli ya zamani yalipoletwa katikati ya miaka ya 1970 huko yalikotoka yalikuwa yanatumika kwenye gauge pana tofauti na yetu.
Kitu ambacho hufanyika ni kufanya adjustment kwenye bog (kwenye matairi yake) unaweza kusema ni kwenye exel kunafanywa adjustment kutanua matairi yakae kwenye muundo wa reli unaotaka kama sgr au kupunguza ili iendane na reli ya zamani au cape gauge. Hayo ya sgr itakapofika wakati yanatakiwa kutumika, adjustment hiyo itafanyika ili yafit kwenye sgr.
Na hiyo adjstment haihitaji hata wataalamu kutoka nje. Washua wa ndani tu walioko karakana ya reli morogoro watafanya