Mabeberu tena jamani: Human and civil-rights bodies seek UN action on Tanzania

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,980
Human and civil-rights bodies seek UN action on Tanzania
Mambo yamezidi kuharibika. Mashirika ya dunia ya haki za binadamu yaomba UN kuingilia kati uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania.

My take: Wanatuonea wivu tutawazidi "maendeleo":oops::oops::oops::oops:...

johnthebaptist
 
25 Feb 2019
People’s rights are under fire “in many parts of the globe”, UN Secretary-General António Guterres told the Human Rights Council on Monday, before insisting that he had not lost “hope”, thanks to the progress made by powerful grassroots movements for social justice.

The UN Secretary-General expressed alarm about the “shrinking civil space in every region of the globe” – and a rise in harassment, attacks and inflammatory rhetoric.


Source : United Nations
 
Kuna mzungu anaitwa Karl Marx alikuwa maskini ila alisema kunapotokea mgogoro wowote (point of departure) anza kuangalia maslahi ya kiuchumi ya wanaogombana (economic determinism) , wasomi waliomfuata kina Max Weber wakasema usiishie kwa wachumia tumbo pia angalia na mengine kama kushindania utamaduni, prestige, power, influence! Je ni wapi tumewakwaza mabeberu? Uchumi au prestige?
 
Mabeberu, wenzenu sisi ni watoto, hebu tuoneeni huruma na mimba za utotoni.
1103799
 
Human and civil-rights bodies seek UN action on Tanzania
Mambo yamezidi kuharibika. Mashirika ya dunia ya haki za binadamu yaomba UN kuingilia kati uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania.

My take: Wanatuonea wivu tutawazidi maendeleo:oops::oops::oops::oops:

johnthebaptist
Serikali kukalia kimya kupotea kwa Azory, Ben Saanane, kuteswa kwa wanasiasa wa upinzani, kupigwa risasi kwa Tundu Lissu etc.
Mabuludozaatalimia meno
 
Nadhani tumechoka Amani! Hivi tunataka kitu gani? Tulikuwa na Rais Kikwete tulilamika kila kukicha,Leo tumempata Raised anayeyasimsmia tuliyoyalalamikia!
Hata Libya Msidhani yalianza ghafla!
 
Back
Top Bottom