Mabeberu tena jamani: Human and civil-rights bodies seek UN action on Tanzania

Hawa ndio mabeberu wanaotuonea wivu.
1103816
 
Nadhani tumechoka Amani! Hivi tunataka kitu gani? Tulikuwa na Rais Kikwete tulilamika kila kukicha,Leo tumempata Raised anayeyasimsmia tuliyoyalalamikia!
Hata Libya Msidhani yalianza ghafla!
Hatukutaka anayepoteza watu, anayeua watu. wapi azory, wapi ben
 
Human and civil-rights bodies seek UN action on Tanzania
Mambo yamezidi kuharibika. Mashirika ya dunia ya haki za binadamu yaomba UN kuingilia kati uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania.

My take: Wanatuonea wivu tutawazidi maendeleo:oops::oops::oops::oops:

johnthebaptist
Waandishi wakenya mnalipa shilingi ngapi kunyoosha kiingereza?
 
Halaf majuzi lile li Profesa linalotokwa mapovu mdomoni lilimdanganya Magu eti Tanzania ya Magufuli imesifiwa na UN kwa rekodi safi na "matendo mema" kuhusu demokrasia na haki za binadamu nchini!
na kutumbua mimacho utadhani limefumaniwa na mkwewe,
 
Exactly, he needs to make reformations on his human rights policies!
You're wishing for the 'impossible'. "Make Reformation?" Ataanzia wapi! Hata angetamani iwe hivyo, nguvu ya kufanya hivyo hana.
It's an inherent thing. Watu tumeumbwa tuwe tulivyo. Kuna yanayoweza kubadilishwa, na kuna yasiyoweza kubadilishwa hata mhusika afanye nini.
 
Inborn characters, brutality gene? Mungu tusaidie! kama Idd amin, alidiriki hata kumpiga risasi kwa mkono wake Askofu wa Anglikan Janan Luwum of Uganda!
 
Human and civil-rights bodies seek UN action on Tanzania
Mambo yamezidi kuharibika. Mashirika ya dunia ya haki za binadamu yaomba UN kuingilia kati uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania.

My take: Wanatuonea wivu tutawazidi "maendeleo":oops::oops::oops::oops:...

johnthebaptist
Janis’s maana mwaka ujao tutaanza kupeleka starlight mwezini. So they are getting jealous of our development at a frog jumping speed
 
Nadhani tumechoka Amani! Hivi tunataka kitu gani? Tulikuwa na Rais Kikwete tulilamika kila kukicha,Leo tumempata Raised anayeyasimsmia tuliyoyalalamikia!
Hata Libya Msidhani yalianza ghafla!
Tafakari juu ya kauli yako !!. Hatuhitaji kusimamiwa kwa kuvunja katiba na haki za watu wengine !!.
 
Nadhani tumechoka Amani! Hivi tunataka kitu gani? Tulikuwa na Rais Kikwete tulilamika kila kukicha,Leo tumempata Raised anayeyasimsmia tuliyoyalalamikia!
Hata Libya Msidhani yalianza ghafla!
Acha wanajifurahisha tu hakuna la maana lotatokea tuonane 2025
 
UN bhana yaani bola umpige risasi 17 Tundu lissu kuliko kuwagusa MASHOGA

BASHITE EFFECT
Mzee mashoga niwengi,wengine hajajitangaza Tu wapo UN.World Bank,Mabank Mbalimbali,Kwa ujmla huko ulaya wameshikilia vyombo vya maamuzi.
Hili ni swala muda Tu liitaibuka vibaya
 
Back
Top Bottom