Mabaunsa mpo? Mambo yamechenji siku hizi

Hizi ni fikra potofu sana, kwanza lazma muelewe watu wanafanya mazoezi kwa sababu nyingi wengine ni ajira, hobbie, hulka, actors , sports etc. Kwa hao wanaofanya kwa ajili ya wanawake ni wajinga sana dunia hii ya ukimwi unatumia muda wako na fedha zako kujenga mwili wa kutafuta wanawake? pia comment kama hizi zinakatisha watu tamaa sana kwa wale ambao wanaanza kufanya mazoezi.

Kwa kifupi dar nzima ina gym za kisasa 5 tu! population ya 6-7 million people ni aibu. Fanya mazoezi kwa afya yako na sio kwa ajili ya kutafuta magonjwa.

Viwanja vya michezo vyote vimevamiwa watu wanaona ujanja kuvigeuza ma bar na guest houses eg Sinza. Embu angalia kila kona unayopita bar, natamani tungekuwa na playing ground na gym zakutosha.

Imekugusaaaa??????????????
 
Mkuu nakubaliana na wewe, wengine mazoezi kwetu ni hobby. Msaada: gym ipi/zipi hapa mjini ungezipendekeza? Na kwa nini?
Natanguliza shukran zangu
 
Nipo kwenye nini unamaanisha nini? Maana nipo kwenye vitu vingi vikiwemo sayari ya dunia, yahoo mail, na kadhalika.
:becky::becky::becky::becky:

Namaa nisha huo utafiti wako upo kwenye nini?
Yaani umeuhifadhi kwenye nini??
 
Hivi wewe unajua kusoma ama hujui? Si hapo nilikuambia nimeuhifadhi kwenye mkoba wangu.
Ngoja nikurahisishie
Nataka nijue wakati unafanya huo utafiti ulikuwa unaweka kumbukumbu zako kwenye nini yaani ulipokuwa unaandika hizo kumbukumbu

Unaweza kuwa ulikuwa unaandika kwenye viganja vya mkono wako au kwenye daftari
Kama ni kwenye daftari inamaana hilo daftari ndilo uliloliweka kwenye mkoba

Umeelewa?
 
Nilikuwa naandika kwenye karatasi. Niliandika na peni. Hiyo karatasi ndo nikaihifadhi kwenye mkoba wangu.
 
Chukua hiyo karatasi kisha hicho ulichokiandika ukiandike hapa kama unavyoandika post zingine kisha nitauona ....!!!!!!!
 
Hiyo karatasi sipo nayo hapa sasa hivi. Na mkoba nao sipo nao hapa sasa hivi.
 
Ok,
Niambie huo utafiti uliufanyia wapi na ulitumia njia gani kuufanikisha?

Ulishirikisha watu wangapi na wa umri gani?
 
Vimbaumbau utavijua tu yaani wenzao tukiwa na six packs nk vifua vya maana utaona vinaona wivu.
 
Watanzania ni watu wajinga sana.

Nina uhakika kabisa asilimia kubwa ya mliochangia humu hata hamjui maana ya baunsa (bouncer) ni nini.

Ujinga wenu unatia aibu!

Cheupe, kwani wewe ni Baunsa?
 
Back
Top Bottom