TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
Kwasababu umesema sisi Watanzania wengi ni wajinga
Nataka nijue huo ujinga wetu tulio wengi umeujuaje
Maana huenda wewe ndio mjinga zaidi .......!!
Nyie mlio wengi ni wajinga.
Watanzania ni watu wajinga sana.
Nina uhakika kabisa asilimia kubwa ya mliochangia humu hata hamjui maana ya baunsa (bouncer) ni nini.
Ujinga wenu unatia aibu!