Mabaunsa mpo? Mambo yamechenji siku hizi

Jamani wana Jf, hivi kama wewe ni mtanzania alafu unasema kuwa watanzania ni watu Wajinga sana, hivi hapo unamaanisha Nini? Kweli nyani haoni kundule..
 
Watanzania ni watu wajinga sana.

Nina uhakika kabisa asilimia kubwa ya mliochangia humu hata hamjui maana ya baunsa (bouncer) ni nini.

Ujinga wenu unatia aibu!

Wewe utaifa wako ni upi/ wa wapi?

Ninachoamini mimi mwanadamu kila siku anajifunza na najua kuwa wengi hawajui kuwa bouncer mlinzi wa night club au watu mashukuru etc, kwa hio badala ya kukejeli na kutoa lugha kali kiasi hichi kana kwamba wewe unajua sana ni kuwa polite na kusema tunavyojadili huu mjadala tutambue kuwa bouncer ni mlinzi na sio bodybuilder etc
 
Wewe utaifa wako ni upi/ wa wapi?

Utaifa wangu hauna shaka.

Ninachoamini mimi mwanadamu kila siku anajifunza na najua kuwa wengi hawajui kuwa bouncer mlinzi wa night club au watu mashukuru etc, kwa hio badala ya kukejeli na kutoa lugha kali kiasi hichi kana kwamba wewe unajua sana ni kuwa polite na kusema tunavyojadili huu mjadala tutambue kuwa bouncer ni mlinzi na sio bodybuilder etc

Hakuna haja ya kuwa mpole wala nini kwa watu ambao hata hawajifunzi, hawaonyeshi hata chembe ya kutaka kujifunza, na badala yake wanaonelea sawa kuendelea kuogelea kwenye lindi la ujinga.

Ni mara ngapi hapa nimeshahoji na kusahihisha watu kuhusu maana ya bouncer, weave, romance, na kadhalika?

Ujinga ni ujinga tu na Watanzania wengi ni wajinga na huo ukweli unaaonekana kwenye jinsi hali ya mambo ilivyo Tanzania. Hakuna haja ya kuupaka sukari huo ujinga ili tu eti niepuke kuwaudhi watu.

Koleo ni koleo tu na si uma. Narudia tena, Watanzania ni wajinga.

Na kwa taarifa yako, hata bodybuilders siyo bouncer(s), kama tu ulikuwa hujui.
 
Narudia tena kurekebisha, angalia tena thred yako, aya ya pili toka mwisho mstari wa pili, bwana kaka si busara kusema hivo kwasababu unaonesha namna na wewe ulivo mmoja wao,jamani ujumuishaji huwa ni kosa, (fallacy of generalization) na tambua kuwa ujinga si kosa, ni wazi kuwa hufahamu maana halisi ya Ujinga!
 
Hizi ni fikra potofu sana, kwanza lazma muelewe watu wanafanya mazoezi kwa sababu nyingi wengine ni ajira, hobbie, hulka, actors , sports etc. Kwa hao wanaofanya kwa ajili ya wanawake ni wajinga sana dunia hii ya ukimwi unatumia muda wako na fedha zako kujenga mwili wa kutafuta wanawake? pia comment kama hizi zinakatisha watu tamaa sana kwa wale ambao wanaanza kufanya mazoezi.

Kwa kifupi dar nzima ina gym za kisasa 5 tu! population ya 6-7 million people ni aibu. Fanya mazoezi kwa afya yako na sio kwa ajili ya kutafuta magonjwa.

Viwanja vya michezo vyote vimevamiwa watu wanaona ujanja kuvigeuza ma bar na guest houses eg Sinza. Embu angalia kila kona unayopita bar, natamani tungekuwa na playing ground na gym zakutosha.

naona mkuu umeongea kwa uchungu sana..............
 
Nilikuwa tight kidogo Excel

1. Arena TZS 220,000 @ Month
2. Collesium TZS 220,000 @ Month
3. May fair-Fitness one TZS 160,000 @ Month
4. LAPF tower gorofa ya 5 pamoja na ile ya Quality Center TZS 160,000 @ Month

Hizo ndio the best gym in dar nazozijua. Nyingine ziko ndani ya vituo vya mafuta chafu na sio afya kufanyia mazoezi maeneo kama hayo.

aksante mkuu , ila Dar hali ya hewa mbona ni chafu tu kiujumlaaaa...........
 
Utaifa wangu hauna shaka.

Hakuna haja ya kuwa mpole wala nini kwa watu ambao hata hawajifunzi, hawaonyeshi hata chembe ya kutaka kujifunza, na badala yake wanaonelea sawa kuendelea kuogelea kwenye lindi la ujinga.

Ni mara ngapi hapa nimeshahoji na kusahihisha watu kuhusu maana ya bouncer, weave, romance, na kadhalika?

Ujinga ni ujinga tu na Watanzania wengi ni wajinga na huo ukweli unaaonekana kwenye jinsi hali ya mambo ilivyo Tanzania. Hakuna haja ya kuupaka sukari huo ujinga ili tu eti niepuke kuwaudhi watu.

Koleo ni koleo tu na si uma. Narudia tena, Watanzania ni wajinga.

Na kwa taarifa yako, hata bodybuilders siyo bouncer(s), kama tu ulikuwa hujui.

unaweza ukaona una akili sana , busara ,hekima lakini kumbe hamna kitu kichwani...........
 
misuli misuli!!
si tutangalia kwenye senema za shezniga!
eti King'asti?
 
Last edited by a moderator:
unaweza ukaona una akili sana , busara ,hekima lakini kumbe hamna kitu kichwani...........

Sijawahi hata siku moja kusema nina akili, busara, wala hekima. Na wala sijioni kama nina akili, busara, wala hekima. Na ni kweli kichwani hamna kitu.

Lakini najua, tena uhakika kabisa, kuwa Watanzania wengi hawajui maana ya baunsa (bouncer).
 
hapo kuna lugha tatu kinzani............

1. english
2. kiswahili
3. lugha ya kitaa

sijui wewe unamaanisha lugha gani?
 
Hizi ni fikra potofu sana, kwanza lazma muelewe watu wanafanya mazoezi kwa sababu nyingi wengine ni ajira, hobbie, hulka, actors , sports etc. Kwa hao wanaofanya kwa ajili ya wanawake ni wajinga sana dunia hii ya ukimwi unatumia muda wako na fedha zako kujenga mwili wa kutafuta wanawake? pia comment kama hizi zinakatisha watu tamaa sana kwa wale ambao wanaanza kufanya mazoezi.

Kwa kifupi dar nzima ina gym za kisasa 5 tu! population ya 6-7 million people ni aibu. Fanya mazoezi kwa afya yako na sio kwa ajili ya kutafuta magonjwa.

Viwanja vya michezo vyote vimevamiwa watu wanaona ujanja kuvigeuza ma bar na guest houses eg Sinza. Embu angalia kila kona unayopita bar, natamani tungekuwa na playing ground na gym zakutosha.

Ni gym zipi hizo kaka? Niambie na locations zake
 
hapo kuna lugha tatu kinzani............

1. english
2. kiswahili
3. lugha ya kitaa

sijui wewe unamaanisha lugha gani?

Usijali ninachomaanisha kwa sababu sina akili, busara, wala hekima.

Ninachojua, tena kwa uhakika kabisa, ni kwamba Watanzania walio wengi hawajui maana ya baunsa.
 
Back
Top Bottom