Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,580
Una matumizi mabaya sana ya pesa mkuu [emoji28]yaani mabati ya kuezeka nyumba nne umeezeka kwenye nyumba moja [emoji276]
Weka picha za roof za kawaida hayo makanisa siyapendi