GE2025 Baada ya Uchaguzi Samia Suluhu anataka kuridhiana na nani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,393
Reaction score
10,910
Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano.

Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi ambacho pande zote mbili zimeumia. Sasa Samia na CCM wameumia Nini Hadi watangaze maridhiano?

Na je wanataka waridhiane na nani?

Je hao wanaotaka kuridhiana nao wakigoma hiyo tume itakuwa na kazi Gani?

Mto wa Mbu,
Athens-Ugiriki.
 
Watu hawahitaji maridhiano ya kinafiki, bali wanahitaji mifumo ya haki. Wanahitaji mifumo itakayozuia CCM na watawala kuwateka na kuwaua wanaomkosoa rais.

Matidhiano ni upuuxi. Hayo maridhiano yatamrudisha Ali Kibao, Soka au Mdude. Tunahitaji haki itakayowezesha watekaji na wauaji wote kukamatwa na kushtakiwa kwente mahakama huru zinazozingatia haki.

Wananchi wanahitaji mifumo itakayowezesha Rais kushtakiwa kama akiwafanyia wananchi uharamia.
 
Hahahaha lets wait the outcomes from ma NIGGA LISSU!!!
 
Watu hawahitaji maridhiano ya kinafiki, bali wanahitaji mifumo ya haki. Wanahitaji mifumo itakayozuia CCM na watawala kuwateka na kuwaua wanaomkosoa rais.

Matidhiano ni upuuxi. Hayo maridhiano yatamrudisha Ali Kibao, Soka au Mdude. Tunahitaji haki itakayowezesha watekaji na wauaji wote kukamatwa na kushtakiwa kwente mahakama huru zinazozingatia haki.

Wananchi wanahitaji mifumo itakayowezesha Rais kushtakiwa kama akiwafanyia wananchi uharamia.
CCM mataperi saaaaa a
 
Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano.

Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi ambacho pande zote mbili zimeumia. Sasa Samia na CCM wameumia Nini Hadi watangaze maridhiano?

Na je wanataka waridhiane na nani?

Je hao wanaotaka kuridhiana nao wakigoma hiyo tume itakuwa na kazi Gani?

Mto wa Mbu,
Athens-Ugiriki.

Tangia 17 March 2021 mengine yote longo longo apate pia 2025 - 30 kwa namna yoyote.

Ukiyasikia haya jua yuko maji ya shingo longo longo zote zimekwiaha ila sasa afanye je .. na 2025/30 anautaka?

Zingatia hapo palipopigiwa mstari.

Habari ndiyo hii:

GE2025 - Kuelekea Sep 15: Macho yote kumchuzi, nyuzi nyingi kuhusiana na Lissu humu ziko kupima maji. Tujipange kusuka au kunyoa!
 
Yaani uteke, utese,upoteze, uue wanachama wa Chadema, uvuruge chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, ujitangazie ushinda bandia halafu utuite turidhiane, huo ni wendawazimu kabisa. Lolote baya limpate kabla hajajitangaza kuwa ni mshindi.
 
Serikali ya kijambazi
 
Wataridhiana na kina mwajuma, gombo, mwalimu, kinjekitile, mpina na hao wengine wanaogombea nao
 
Yaani uteke, utese,upoteze, uue wanachama wa Chadema, uvuruge chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, ujitangazie ushinda bandia halafu utuite turidhiane, huo ni wendawazimu kabisa. Lolote baya limpate kabla hajajitangaza kuwa ni mshindi.
kah! Mjuba hii kali
 
Ni hivi, muda umebaki mchache sana ila CHADEMA inaweza kufanya maajabu makubwa kama wataingia uchaguzini dakika za mwisho. Wapiga kura wanawaisubiria waibe kura zote, kura za ushindi, sio kimbunga, ni tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa kudondosha miti na majumba makubwa, naam, ni ushindi wa kishindo kikubwa. CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani, tena upinzani wa kweli
 
Hata CHADEMA ikishinda ifanye maridhiano na CCM. Hii dhana ya maridhiano kwa CHADEMA ndiyo yenyewe hasa kwa kuwa imeumizwa vya kutosha na inapaswa kuridhiana na watesi wake
 
Back
Top Bottom