General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,023
Siku hizi kwenda kuzika labda afe mama au baba au mtoto.Tunakoelekea hata utamaduni wa kuzika nyumbani utapungua sana, watu wataanza kuzikwa hukohuko aliko.
Siku hizi kwenda kuzika labda afe mama au baba au mtoto.
Tofauti na zamani hata jamaa au ndugu wa mbali sana watu walipanda magari kuzikaa.
Yaani serikali inabana na sisi tuna banaa
Mabasi ya kusafirisha abiria mikoani yamelalamika kukosa abiria hasa katika kipindi hiki cha sikukuu tofauti na miaka mingine ambapo Mabasi huwa hayatoshi.
Nini chanzo cha haya yotee?
Imeripotiwa ITV
Hata vile vi michango vya harusi tunavyochangishana maofisini kila baada ya miezi miwili navyo vitapotea.Tunakoelekea hata utamaduni wa kuzika nyumbani utapungua sana, watu wataanza kuzikwa hukohuko aliko.
Wamelinganisha na miaka mingine iliyopita hasa kwa mabasi yanayokwenda Kaskazini ambao kwenda "kuhiji" nyumbani kwao ni kama utamaduni. Miezi kama hii miaka ya nyuma nilikosa gari kabisa na hata "IT" niliyopata ilikuwa kwa mbinde kwani ilinibidi kusafiri hadi Morogoro ili nipate Gari la kuja Iringa!Mabasi ya kwenda wapi? Hii taarifa si ya kweli. Nimekosa basi la kwenda songea(super feo) leo, nikalazimika kukata basi jingine nisilolitaka, na lenyewe safari ni kesho, tena zilibaki siti 2 tu.
JPM si amesema anataka watu waishi kama mashetani?
Anafurahi kuona watu wanateseka.
Siku hizi kwenda kuzika labda afe mama au baba au mtoto.
Tofauti na zamani hata jamaa au ndugu wa mbali sana watu walipanda magari kuzikaa.
Yaani serikali inabana na sisi tuna banaa
Mtu ana roho mbaya kuliko shetani.Mkuu tangu lini aliye binadamu akataka kuwaona binadamu wenzie waishi kama binadamu na hivyo kuyafurahia maisha?
lipi ilo usilo litaka jet za new force?Mabasi ya kwenda wapi? Hii taarifa si ya kweli. Nimekosa basi la kwenda songea(super feo) leo, nikalazimika kukata basi jingine nisilolitaka, na lenyewe safari ni kesho, tena zilibaki siti 2 tu.