Mabasi yakosa abiria Ubungo kipindi hiki cha sikukuu

Mabasi ya kusafirisha abiria mikoani yamelalamika kukosa abiria hasa katika kipindi hiki cha sikukuu tofauti na miaka mingine ambapo Mabasi huwa hayatoshi.

Nini chanzo cha haya yotee?
Imeripotiwa ITV
Huu ni uongo kuna mtu kaenda kata ticket leo kaambiwa hamna nafasi mpaka tarehe 25, magari ya kwenda Tanga yenyewe ukienda kata ticket ya siku hiyo hiyo hupati waambiwa mpaka kesho tena si la asubuhi ni la mchana na asilimia kubwa wengine wanaondoka na usafiri wao
 
Leo ndo naenda tanga, nimefika na kupanda gar, nimeacha simba na rahaleo zimepaki pale ubungo
 
Back
Top Bottom