Mabasi yakosa abiria Ubungo kipindi hiki cha sikukuu

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
14,795
2,000
Mabasi ya kusafirisha abiria mikoani yamelalamika kukosa abiria hasa katika kipindi hiki cha sikukuu tofauti na miaka mingine ambapo Mabasi huwa hayatoshi.

Nini chanzo cha haya yotee?
Imeripotiwa ITV
 
General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
14,795
2,000
Tunakoelekea hata utamaduni wa kuzika nyumbani utapungua sana, watu wataanza kuzikwa hukohuko aliko.
Siku hizi kwenda kuzika labda afe mama au baba au mtoto.
Tofauti na zamani hata jamaa au ndugu wa mbali sana watu walipanda magari kuzikaa.

Yaani serikali inabana na sisi tuna banaa
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
101,816
2,000
Uchumi wetu uko vizuri pesa kibao mtaani pumzi yako tu. Watu wamechoshwa na kusafiri hivyo Xmas na Mwaka mpya mwaka huu watalia MUJINI! Eh! Mungu inusuru nchi yetu na majanga makubwa yanayoikabili.

Mabasi ya kusafirisha abiria mikoani yamelalamika kukosa abiria hasa katika kipindi hiki cha sikukuu tofauti na miaka mingine ambapo Mabasi huwa hayatoshi.

Nini chanzo cha haya yotee?
Imeripotiwa ITV
 
mdaharunga

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
413
500
Mabasi ya kwenda wapi? Hii taarifa si ya kweli. Nimekosa basi la kwenda songea(super feo) leo, nikalazimika kukata basi jingine nisilolitaka, na lenyewe safari ni kesho, tena zilibaki siti 2 tu.
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,500
2,000
Mabasi ya kwenda wapi? Hii taarifa si ya kweli. Nimekosa basi la kwenda songea(super feo) leo, nikalazimika kukata basi jingine nisilolitaka, na lenyewe safari ni kesho, tena zilibaki siti 2 tu.
Wamelinganisha na miaka mingine iliyopita hasa kwa mabasi yanayokwenda Kaskazini ambao kwenda "kuhiji" nyumbani kwao ni kama utamaduni. Miezi kama hii miaka ya nyuma nilikosa gari kabisa na hata "IT" niliyopata ilikuwa kwa mbinde kwani ilinibidi kusafiri hadi Morogoro ili nipate Gari la kuja Iringa!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
101,816
2,000
Mkuu tangu lini aliye binadamu akataka kuwaona binadamu wenzie waishi kama binadamu na hivyo kuyafurahia maisha?

JPM si amesema anataka watu waishi kama mashetani?
Anafurahi kuona watu wanateseka.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,635
2,000
Siku hizi kwenda kuzika labda afe mama au baba au mtoto.
Tofauti na zamani hata jamaa au ndugu wa mbali sana watu walipanda magari kuzikaa.

Yaani serikali inabana na sisi tuna banaa
Sasa ngoja january uone hilo litakazozikuta shule za private. Huko ndio janga kabisa maana wengi hawatopeleka watoto wao na wale watakaofanikiwa kupeleka ada italipwa kwa kuungaunga ile mbaya.
 
New Nytemare

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
3,140
2,000
Mabasi ya kwenda wapi? Hii taarifa si ya kweli. Nimekosa basi la kwenda songea(super feo) leo, nikalazimika kukata basi jingine nisilolitaka, na lenyewe safari ni kesho, tena zilibaki siti 2 tu.
lipi ilo usilo litaka jet za new force?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom