A
Anonymous
Guest
Sasa kumekuwa na uhuni wa MABASI yote ya MIKOANI kutoza nauli kubwa bila nauli husika kwendana na viwango vya huduma.
Basi linatangazwa kama VVIP ila nje ya Bus kuwa jipya na choo ndani hamna jipya zaidi. Viti vimebanana mno wala havipo comfortable.
Juzi nimelipia ticket 2 kwaajili ya wazazi wangu sababu ni wazee nilitaka wasafiri comfortable Bus kutoka Mbeya kwenda Dar kampuni ya ABC bus lao wanasema ni VVIP - PRESIDENTIAL SEAT nauli Tsh 70,000
Wazee wamefika Dar wapo hoi wanalalamika viti vimebanana mnoo, wamefika miguu imevimba na mifupa inawauma.
Hii sio sawa na thamani ya pesa hamna.
LATRA watoe muongozo sifa za gari ya VVIP inapaswa kuwa na idadi gani ya viti na nafasi kati ya kiti cha mbele na nyuma kiasi gani.
Pia hata huduma za Vyoo vya kwenye haya magari sio rafiki kwa wanawake na haja kubwa...
LATRA itoe muongozo kwa kampuni inayoagiza gari za VVIP na kutoza nauli kubwa zijiandae na huduma kuendana na nauli husika na mazingira ya kusafiri comfortable iwe kipaumbele
Kinachoendelea kwasasa ni uhuni na utapeli na kuibia nauli wateja
Hamna sababu ya kulipa pesa za zaidi kwaajili ya choo tu
LATRA wafuatilie na watoe muongozo!