Mabasi mazuri kwenda Mwanza

Mabasi mazuri kwenda Mwanza

Mwanza hakuna luxury bus panda lolote tu mladi liwe jipya jipya maana mabus yote ya Mwanza hukojoza abiria wao machakani kwahio hakuna lenye uzuri hapo
Falcon ya kwenda musoma hukojoza abiria kwenye vyoo. Nayo ni luxury?
 
Na anayeunga Dar-Dom, Dom-Mza, analala Dodoma siku moja. Kwa mabasi ya Luxury unachukua Shabiby VIP mpaka Dom, unalala kesho yake asubuhi unaunga SATCO luxury to Mwanza. Hapo vip?
 
Tilisho wako vizuri sana, kwanza wamewaondolea tabu wasafiri wa uelekeo huo maana wamesambaza ofisi kila kona ya Dsm hata wale waishio mbali na Mbezi/Shekilango hawapati shida.. Pia wana customer care nzuri kwa abiria.
Yes meku. Mpaka chanika huduma ipo... yaan hawajaacha mahali. Wako vizuri sana. Kama nilisikia kigamboni pia. Mwenzake esther nadhan aliacha

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Tilisho wako vizuri sana, kwanza wamewaondolea tabu wasafiri wa uelekeo huo maana wamesambaza ofisi kila kona ya Dsm hata wale waishio mbali na Mbezi/Shekilango hawapati shida.. Pia wana customer care nzuri kwa abiria.
Hizi gari zinaenda mwanza?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye makosa alikua Nani? Make usku madreva wa bus wanamwaga Moto balaa
Mimi shemeji yako hiwa namsaidiaga kushika break za miguu. Ni dereva makini sana. Sema mwendo wake dah. Na hv hasumbuani na matrafik acha kbs. Na anakuambia anapenda safari za usiku ndo anaona zaidi wakati mimi vicheche sivionagi. Aisee hapana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mimi shemeji yako hiwa namsaidiaga kushika break za miguu. Ni dereva makini sana. Sema mwendo wake dah. Na hv hasumbuani na matrafik acha kbs. Na anakuambia anapenda safari za usiku ndo anaona zaidi wakati mimi vicheche sivionagi. Aisee hapana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwa nn matrafiki hawamsumbui?
 
Back
Top Bottom