Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,501
- 6,200
Panda kisesa/zuberi utakuja nishkru baadae
duhh kwamba wamebadilika hao jamaa!?..Mdanganye mwenzako
Shemeji usalama.
Hukufunga mkanda?Duuh..sikati siti za mbele tena..amana kilichonizuia na lile chuma pia gari haikua mwendo sana..ila niliumia mguu na mdomo ulipasuka kwa ndani..
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Atafika mwanza saa 11 alfajiriduhh kwamba wamebadilika hao jamaa!?..
Kisbo Dvj Dan Master au Frester
Happy nation na frester, majinja ngalangala ila linatembea sana
Dereva ndiye aliyeovateki..bila kujua kuna semi inakuja.Mwenye makosa alikua Nani? Make usku madreva wa bus wanamwaga Moto balaa
Panda ndege kijana, dakika 45 tu upo zoo acha ubahili kushinda siku nzima kwenye siti hadi uliyekaa naye anakuwa kama nduguyo..
Kisbo mtu mbad!
Majinjah nuksi dar saa saba kamili ushaingiaHappy nation na frester, majinja ngalangala ila linatembea sana
...hadi uliyekaa naye anakuwa kama nduguyo...Panda ndege kijana, dakika 45 tu upo zoo acha ubahili kushinda siku nzima kwenye siti hadi uliyekaa naye anakuwa kama nduguyo..
Fikoshi na premierNaomba kujua kama kuna basi zuri Mwanza - Mbeya, kama lipo
Watu huwa wanakurupuka Sana mtu akipiga tu madini anakimbilia mabus kwa mbwembe customer care na services zinawashinda then wanafirisika.Dar lux imeshajifia siku nyingi kabakiza gar moja tu wadau wanaiita yatima
New forceNaomba kujua kama kuna basi zuri Mwanza - Mbeya, kama lipo