Mabasi mazuri kwenda Mwanza

Mabasi mazuri kwenda Mwanza

Fata huu ushauri hautojuta.
1638561735238.png
 
Dar lux sijui kilimkuta nn maana alishusha marcopolo G7 mpya akazipeleka had bukoba ila baada ya muda mfupi kapotea kweny raman sjui shda nn
Naona Mkinga alikosea ndagu! Mali ikarudi ilikotoka! Shida ya biashara za Wakinga !
 
Hivi kisu cha ngariba bado ipo dunia hii? Ilikuwa inakimbia kama inataka kupaa.
 
Hivi wakuu hotel ni bei gani huko jiji la miamba? Zile za hadhi ya kawaida? Nataka kufika huko December hii.
 
Back
Top Bottom