iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,008
- 9,408
Panda happy nation Wana buss mpya nzuri sana.
Kuna jamaa yangu alitoka mwanza wiki mbili zilizopita alifika dar mapema sana. Saa tano na dakika 5 usiku.
Nauli Yake kidogo ipo juu 550,000/
Na hii ili upate ni lazima uweke booking one day before departure
Ukikosa hiyo panda ally's nayo iko vizuri.
Kwamba nauli ya kutoka Mwanza mpaka Dar ni "Laki Tano Na Elfu Hamsini?" Mkuu hii sini nauli ya kupanda mwewe kabisa au ulimaanisha nini..?!

