Mabasi haya mnayakumbuka?

Umenikumbusha madereva wa Songea Dar enzi hixo Tawaqal unamkuta Giriki, Kiswele unawakuta Yogi, Okalla na Rwambo, Zainabs unamkuta Shida na Special coach unamkuta John Africa na Mapunda......dah ilikuwa ni moto chini!
Lizaboni home.... kwenda stendi kuvuka mwembechai ilikuwaga mtihani na wale waosh magari enzi hizo... yale madraja mawili
 
Umenikumbusha madereva wa Songea Dar enzi hixo Tawaqal unamkuta Giriki, Kiswele unawakuta Yogi, Okalla na Rwambo, Zainabs unamkuta Shida na Special coach unamkuta John Africa na Mapunda......dah ilikuwa ni moto chini!
Halfu MATIMBULA BUS SERVICE to Peramiho.... Halfu kulikuwa na LITUNU to Magagura
 
yutong,
Igesa Line, Kwacha, Scandnavia na Comfort Video Coach

Hayo niliyowekea red yalikuwa ndo mabasi yangu ya DAR- Iringa. Hiyo ya kwenye bluu yalikuwa mabasi maarufu sana kati ya Dodoma/Mpwapwa na Dar bila kuwasahau Champion.
Yuting au MACOPOLO?
 
Hilo na 6 Ni Tusi kubwa mno kwa watu wa kigoma usiitaje tena
1. KWACHA nimekumbuka warrant kwenda shule
2. Mwafrika nimekumbuka safari yangu ya kwanza kusafiri peke yangu
3. Railway nimekumbuka safari ya kishule toka Iringa kwenda Mazengo Dodoma
4. Kamata nimesafiri nayo sana toka Songea kwenda Dar
5. Binkleb Bus Service (BBS), Safari zangu za Songea Dar
6. Kiswele Songea Dar na wakiingia SOngea ile mihoni ya kushindana kati ya Kiswele na Zainabs
7. Scandinavia SOngea Dar, Dar Mbeya
8. Tawaqal Safari za Songea Dar, Iringa
9. Special Coach... Safari za Songea Dar
10. Ruvuma Line hata hakudumu wallah... alilipeleka basi kwa PARADISO kutambika lakini wapiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dereva aliyekuwa anaendesha basi la Air Msae lililopinduka Chalinze na kuua watu wengi anaitwa Jimmy Mlimbira. ni Mkinga. Sasa hivi anamiliki hotel kubwa sana iko Buza Sigara na ana kumbi za sitarehe huko huko Temeke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom