Mabasi haya mnayakumbuka?

yutong,
Igesa Line, Kwacha, Scandnavia na Comfort Video Coach

Hayo niliyowekea red yalikuwa ndo mabasi yangu ya DAR- Iringa. Hiyo ya kwenye bluu yalikuwa mabasi maarufu sana kati ya Dodoma/Mpwapwa na Dar bila kuwasahau Champion.
 
yutong, Mengineyo: Mzalendo Bus Service, Sahib Bus Service (KAMUJINGIJINGI 1986-1992), Nyuki Bus Service,Bazzu Bus Service (WASHAWASHA CHINI YA MTI), Sulemani Bus Service, Yarab Salaama Bus Service; Haya yote yalikuwa maCD Leyland isipokuwa yale ya Sahib (KAMUJINGIJINGI) yalikuwa na Mix ya Scania 82.
 
Mengineyo: Mzalendo Bus Service, Sahib Bus Service (KAMUJINGIJINGI 1986-1992), Nyuki Bus Service,Bazzu Bus Service (WASHAWASHA CHINI YA MTI), Sulemani Bus Service, Yarab Salaama Bus Service; Haya yote yalikuwa maCD Leyland isipokuwa yale ya Sahib (KAMUJINGIJINGI) yalikuwa na Mix ya Scania 82.
Mkuu,
Mbona umesahau Central Line na El-Abry? Sha-Ally?
 
.....kajoi.............sabena...............rombo mwelekeo.................rombo investment..............kararinas...................TTBS............
 
Hapa kwenye AMTICO umenikumbusha mbali sana enzi za
NDEGE MNANA
ZAFANANA
MARAHA
KIDATO
SIMBA MTOTO
Usisahau kuna lile lilikuwa likiitwa Embakassy, dereva wake walikuwa wakimuita Fea sijui!. Yaanai kitu kama hicho, lilikuwa likiogopewa njia nzima Korogwe/Tanga.
 
Kulikuwa na Haji's vilevile, hivi metro coach bado yapo...movie ya Komando Kipensi nliangalia mara ya kwanza kwenye Metro coach Dar to Arusha.
 
Najimunisa:Dar -Mwanza
Victoria bus service:Mwanza-Bukoba
Nyeunge express:Nyeunge-Mwanza
Byonabusha:Karagwe-Bukoba
Championi:Dodoma-Dar
 
Jamani mimi Mv Mapenzi ruti Temeke Posta kupitia Changombe dereva Maulid, Yani ilikuwa ukilikosa ni Bora usubiri Lirudi na utayakuta yaliyo tangulia Njiani.
 
Back
Top Bottom