Mabasi haya mnayakumbuka?

Mabasi haya mnayakumbuka?

Basi leo ngoja niwarudishe enzi za 1980's na 1990's wakati huo nchi ikiwa haijauzwa. Palikuwa na mabasi ya Layland CD wakati huo Scania ndo dili. Mnakumbuka Mabasi haya?

Igesa Line
Kwacha
Safina
Gold Line
Widambe
Mwaafrika
Makete
Siri Yako
Super Star
Railway
Kamata
Bin Klebo Bus Service
Kiswele
Sharuks
Air Msae
Air Chalinze
No Challenge
Air Shengena
Zainab
Scandnavia
Special Video Coach
Tawaqal
Comfort Video Coach
Living Light
Yarabi Salama
Safari Master
Big Mayai
Jupiter
Mbarak
Ruvuma Tours Line
Matema Beach Coach

Unakumbuka nini hapo?
Pia kulikuwa na Amtico, Wema, Coretco, tamti, Ambiance
 
Kiswele Dar Songea bus liliondoka Dar saa 12 asubuhi nakufika Songea saa 10 jioni siku hiyohiyo hajawahi tokea tena.
 
Hapo nakumbuka kuna basi moja la Safina lilipata ajali mbaya sana mto Karanga Moshi......sikumbuki lilikuwa linaenda wapi.....Hiyo Air Msae a.k.a Kilimanjaro Bus......nalo lilikuwa lina tabia ya kuchinja watu sana njia ya Arusha, Moshi, Dar.......Scandinavia bana lilivyoingia ulikuwa ukilipanda unaonekana upo matawi ya mbali sana......dah......mabasi mengi nadhani yamebadilishwa majina kutokana na utovu wa nidhamu.....tunasubiri jina jipya la Sumry
Sumry inaitw mbeya express mkuu
 
Back
Top Bottom