Elections 2010 Mabango ya JK yaanza kungolewa

ule ni mkataba tu na kampuni dats why yanatolewa lakina kama ingekuwa hiari yao basi yale mabango ungeyakuta hadi uchaguzi ujao (2010)
 
Yale mabango yaliomwaga kila kona ya mji na kukera kila anaepita si mtoto waa mkubwa yakiwa na mapicha ya ukubwani /utototni/ ya rais kikwete sasa yameanza kuondolewa rasmi...mabango haya yalianza kufumuliwa barabara jangwani jana na kuhitimisha yale matatizo yaliokuwepo

Ninaweza kuyapataje hayo mabango? Nina shida maalum nayo. Nisaidieni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom