Elections 2010 Mabango ya JK yaanza kungolewa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Yale mabango yaliomwaga kila kona ya mji na kukera kila anaepita si mtoto waa mkubwa yakiwa na mapicha ya ukubwani /utototni/ ya rais kikwete sasa yameanza kuondolewa rasmi...mabango haya yalianza kufumuliwa barabara jangwani jana na kuhitimisha yale matatizo yaliokuwepo
 
Hasa yale yanayoonyesha kikwete anamsikiliza bibi kizee mmoja yalikuwa yananikera sana. hiyo ni typically tabia ya kifisadi. watanzania tumerubuniwa kiasi cha kutosha.
 
Nimefurahishwa sana na CCM na ukuaji wa Demokrasia jana usiku niliona jinsi walivyokuwa busy kuyatoa... this is a good.
 
bado itakula kwao tu

Nilikuwa naweweseka usiku! Yalikuwa yananijia kama zimwi gani vile -- ile miwani!!!!!!
 
Mtasema sana lakini ukweli utaendelea kubaki: CCM ITASHIND AKWA KISHINDEO. Nyie wote manoichukia CCM itabidi muingie uvunguni mwa meza kuugulia maumivu.
 
Sijui ilikuwa inaashiria nini? Nimeona picha moja ya Kikwete pale kwenye roundabout ya Mlimani City na Kakobe ikiwa imepinduka kichwa chini na haikuwa na dalili ya kutaka kuangka bali kuna kiashiria tu.
Ni dalili ya kuanguka kwenye uchaguzi huu
 
Mtasema sana lakini ukweli utaendelea kubaki: CCM ITASHIND AKWA KISHINDEO. Nyie wote manoichukia CCM itabidi muingie uvunguni mwa meza kuugulia maumivu.

ishinde kwa lipi????? kwa kuchakachua?
 
Duh, afadhali ujinga huo uondolewe, kuna bango lilikuwa linanikera maeneo ya Mwanga sokoni kule Kigoma, ati wamepiga picha Power house na kujinadi, Tuliahidi, Tumetimiza. Kutimiza nini? kuwapumbaza wana Kigoma kwa umeme wa generator (pollution tupu) wakati uwezo wa kuunganisha Mkoa wa Kigoma na Gridi ya Taifa ukiwepo? Ufisadi mtuuuuupu!!!!
 
Nimefurahishwa sana na CCM na ukuaji wa Demokrasia jana usiku niliona jinsi walivyokuwa busy kuyatoa... this is a good.

A good what? Otherwise nakubaliana na wewe kwamba CCM wanaanza kusoma alama za nyakati. Sasa yale mabango yote uchafu huo wataweka wapi?
 
Mtasema sana lakini ukweli utaendelea kubaki: CCM ITASHIND AKWA KISHINDEO. Nyie wote manoichukia CCM itabidi muingie uvunguni mwa meza kuugulia maumivu.

Ushindi halali hamwezi pata. Nakubali kwa kuchakachua nyie ndo wenyewe. Tatizo mnafanya makosa mengi kiasi kwamba hata mtoto anajua huu wizi
 
Inanikumbusha Propaganda za nchi zilizokuwa za kikoministi mabango makubwa lakini dukani hakuna kitu labda vitabu vya kusifia kiongozi wao.
 
Watu wa Voda wataka fanya biashara zao na hizo nafasi, au wataka weka mabango ya rais kesho?
 
Hasa yale yanayoonyesha kikwete anamsikiliza bibi kizee mmoja yalikuwa yananikera sana. hiyo ni typically tabia ya kifisadi. watanzania tumerubuniwa kiasi cha kutosha.

Mnafiki tu, mbona wazee wa East Afrika bado wanasotea haki yao si angekaa nao hivyo na kumaliza matatizo yao??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom