Kwani hii kesi si imeshaanza?kama nna kumbukumbubu vizuri kesi ikishaanza inahukumiwa kwa sheria zilizokuwepo wakati kesi inaanza,na sio sheria mpya iliyotungwa wakati kesi inaendelea,na hii ni hekima ya wazee kuepusha mahakama kugeuzwa kichekesho maana kama tukiamua uhuni wa hivyo ufanyike,imagine kitakachoendelea duniani...mahakama itakuwa kituko na kichekesho..maana mwenye nguvu akiona kesi imembana anaenda kupindua vifungu vimpendelee,si vichekesho?!dont tell me tushafika huko..mleta mada kama ni kweli tumefika hapo embu nihakikishie ili nianze kucheka hapa!!we will be finished as a nation.