Mabadiliko MMU

HA ha ha ha ha BAK bana acha mambo zako kilemba kinazingua watu.......................

Eti eeh! Hahahahahahahaha kimefungwa kwa style ya aina yake. Njemba zikiona kilemba hicho basi zinaanza kujigonga gonga LOL! Mie namzimikia DA nataka kumuanzishia sredi...mara Ooh! Sijamuona DA hapa jamvini kitambo sasa hivyo sili wala silali mradi waiweke roho ya DA juu juu LOL!
 
nini kumpiem, hakuna cha thanks wala like aliyokugongea. Hajakuadd as a friend wala nini. Unajua kumpenda mtu sio hadi utangaze kwa watu. Watu wanaweza kuona tu fulani anampenda fulani.

Hehehe.Maneno tu bila matendo sio,...
 
Mbaya zaidi sidhani kama watu wenyewe hua wanakua wakweli...ni kama kampeni ya kutafuta umaarufu.Maana mtu umezimia michango yake kweli alafu hata siku moja hujawahi kumPieM umjulishe unakuja kumwaga habari jamvini.DA hongera kwakusema!Wandugu hopefully mmesikia na kuelewa!

kweli kabisa umenena wa ukwel
 
Eti eeh! Hahahahahahahaha kimefungwa kwa style ya aina yake. Njemba zikiona kilemba hicho basi zinaanza kujigonga gonga LOL! Mie namzimikia DA nataka kumuanzishia sredi...mara Ooh! Sijamuona DA hapa jamvini kitambo sasa hivyo sili wala silali mradi waiweke roho ya DA juu juu LOL!

Ha ha ha ha ha namiss comments zake ha ha ha BAK acha visa.......................
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanapenda Avatar + kilemba chake

Ingetokea natuhumiwa kuanzisha thread ya kumpenda Dena Amsi (situhumiwi) na nikaulizwa sababu ya kumpenda na pia nikalazimishwa niseme ukweli, jibu lingekuwa, "Napenda Avatar + kilemba chake, kuna aina fulani ya 'innocence', sasa sijui ikiwa avatar zinawakilisha watu mwenyewe!! Ni fumbo kiasi fulani. Just that (huku niki-pretend ku-shrug)"
 
Umeamua kuweka mambo hadharani poa............................
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Dah! Heading ya hii thread nikasema mara hii Dena amekuwa MOD, aisee sawa MOD tumekusikia thread za namna hiyo tunapiga buyu tu.
 
kupendwa hadharani kuna raha yake.....sema ukweli umwaibishe shetani hukufurahia kuona umerushiwa thread???mie nasubiri klorokwini anianzishie!:bored::bored::bored::tape:
hehehe hakikisha ijumaa una log in mapema, sredi nitailembea hewani Ijumaa, hata kama kina DA na wafuasi wake wataamua kuweka tinted.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom