Dena Dena Dena Dena Dena Amsi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.

Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???

Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.

I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.

Regards

DA
 
Pole sana mpenzi,
hii yote ni kuonyesha ni kiasi gani,
wadau hapa JF wanavyokumiss,
worry not!
Nasubiri ujio wako wa huku home!keep in touch!!!!!
 
waswahili husema ukicheka na nyani utayavuna mabua!dnt allow ur name to be miss used!hata kama mtu anakupenda kiasi gani respect lazima iwepo,tunakupenda ndio,na wako wengi tunaowapenda hapa lkn tunamalizana chemba kwa yale ya muhim yasiyotakiwa kusomwa sebuleni.Kila kitu kikiwekwa sebuleni vyumbani watakaa kina nani?kujuana kimjini mjini isiwe tabu kha
my take:let zem knw ur a lady/gal/woman with dignity and respect,na anaekuheshim,lazima na yy anajiheshim pia
Love u sana but will see u chemba.
 
Sidhani kama ni kwa ubaya wanaanzisha hizo thread,nafikiri you are friendly na kama alivyosema AD wanakupenda!
Furahia tu kwamba uwepo wako JF una maana nzuri kwa wenzio!!!!
 
Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.

Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???

Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.

I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.

Regards

DA

Watu wanakupenda sana wanaogopa kukuPM utajua wanataka kukutongoza
 
mimi natamani ningekuwa huyo Dena.
sred unazoanzishiwa si kwa ubaya so kupendwa raha dear
Niliona srd ya Marytina aliyoanzishiwa iliyokuwa inampongeza mod kwa kunilisha BAN-vipi ungepata sred tatu kama hizi.

Personally nitakuanzishia sredi karibuni chukia na uchukie ,ebo vizuri huvijui?
 
naasi desi!!

ila kesho usije tena ukaanzisha thread nyingine kwamba PM zimezidi.... haya dada lama salama!!!
 
Ni sawa ni kwa upendo lakini zinapozidi
inakuwa haina maana
ukishaona kuna thread kama hiyo imejitokeza changia hapo
sio kwenda kuanzisha ya kwako.
Nakupenda sana dear
 
Kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza!!Ni jinsi gani unakubalika kwa wana Jamii nijambo lakujivunia usione ni karaha!
 
mimi natamani ningekuwa huyo Dena.
sred unazoanzishiwa si kwa ubaya so kupendwa raha dear
Niliona srd ya Marytina aliyoanzishiwa iliyokuwa inampongeza mod kwa kunilisha BAN-vipi ungepata sred tatu kama hizi.

Personally nitakuanzishia sredi karibuni chukia na uchukie ,ebo vizuri huvijui?
Hahahahahahahah lol
looohh wee umenichekesha jamani
Poleee sana dear dahhhh
 
Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.

Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???

Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.

I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.

Regards

DA

Wape wanachotaka......:biggrin1:
 
You are so sweet mydear! An icon for many. I don't know what to say but i think you have right for your privacy, remember you can't stop the rain or hide your shaddow. wewe ni mtu wa watu
 
Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.

Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???

Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.

I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.

Regards

DA

nimegundua hicho kitu ni moja kati ya vile vitu usivyovipenda.
Pole sana Bibie...
 
Pia nadhani ungewaPM ambao wamewahi kufanya hivyo uwajulishe kwamba wewe hufurahii!!!Kutwa watu wanasifiana PM na bado inanoga kwahiyo na wao wafanye hivyo maana ikizidi zaidi ya mara mbili inaboa kwakweli!!
 
Ni kweli tunampenda dena ila haya masredi yamezidi. Great thinkers utafikiri hawana vya kupost.
Kila kitu kikizidi huwa ni kero.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom