nnunu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2011
- 654
- 230
SAFI SANA DENA,
Kumpenda,kumsifia,kumkandia mwanaJF mwenzako mi naona hakuna ubaya ila kuanzisha eti thread ya nampenda mwanaJF fulani naona kama haina maana sana, hatua unayotakiwa kufanya ni kuMP ili huko mwelezane mnavyopendana kwa undani.
Huyo unamwanzia thread kama ameolewa au ameoa inaweza kumletea matatizo ktk familia yake hasa ikiwa mume/mke ana ufahamu mdogo.
Suluhisho ni kuMP.
Pia mgongee THANKS,LIKE NYIIIINGI UWEZAVYO.