Mabadiliko MMU

Na zile za kumissiana je! maana baada ya kutokuzipenda zile, itakuja mwingine tena hapendi aina fulani ya thread basi kila mtu atasema hapendi nini, mwisho wa siku kila kitu kitakuwa hakipendwi. wahusika wamesikia afadhali, nina imani watapunguza.... ila tu hata kwenye diskashen za QM na QT pia katikati huwa zinawekwa jokes za hapa na pale sio kuwa serious mwanzo mwisho inachosha sana.


Nimetoa mawazo yangu so si lazima sana ukubaliane nayo........pole kama nimekukwaza sio nia yangu
 
Hahaaa DA sijakwazika kabisa nipo poa, maana hapa JF ni kipimo cha uvumilivu, ingawa makwazo hayana budi kuja lakini kwa hili sijakwazika...
anyway sikuanzishii thread lakini NAKUZIMIA..........

Asante kwa kunizimia.....................
 
KK sijui kama umenisoma vizuri nimesema samahani kama kuna ninayemkwaza kwa hili. Pole sana kwa hilo ni mtazamo wangu tu
japo na wewe nimtazamo wako sipingi mawazo yako ila na mimi nimeweka yakwangu! DA nimekukopia kakipengele na wewe ambako nadhani hujanielewa!!Habari za asubuhi??
 
japo na wewe nimtazamo wako sipingi mawazo yako ila na mimi nimeweka yakwangu! DA nimekukopia kakipengele na wewe ambako nadhani hujanielewa!!Habari za asubuhi??

Nimekusoma vizuri sana.

Habari za asubuhi nzuri sana vipi weewe?? Mzima lakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom