Mabadiliko Bandari ya Dar: Wafunga CCTV 480

Mabadiliko Bandari ya Dar: Wafunga CCTV 480

Watanzania tuliomba sana kumpata raisi. Na hatimaye Mungu akatupa Magufuli, mchukia rushwa na ufisadi. Ee Mungu mlinde raisi wetu.
Pamoja na JPM kukomaa lakini TRA bandarini dar wabishi, hadi leo bado wanafanya mambo kama wako awamu ya nne. Ukitoka zenj na kamzigo kako unalipia ushuru dogo anatia mfukoni halafu anaandika kimemo kwa upite. Yaani nimeshangaa! Hakuna risiti.
 
Kwa magufuli kila goti litapigwa Tanzania imepata bonge la kiongozi.
Hakuna sababu ya kujipendekeza hadi ukakosa namna hii.......Magufuli si Mungu wala Allah ili apigiwe magoti....rekebisha hapo.
 
Zamani watu walikuwa wanaenda kwa madevu kubeba unga kwa njia ya kumeza unga na kuuleta nchini ambapo mtu mmoja anameza kg1 au 2
Sahv unga unaletwa kg 200 mpaka 400 kwa wakati mmoja,Tanzania ndy sehemu yenye upatikanaji wa unga kwa bei rahisi Sana,hzo CCTV lbda zitazuia uwizi wa kontena syo madawa
Huo ndio ukweli
 
Watu kama wewe ni wanafki sana! Yaani imekaa kusifia sifia ovyo tu,kujipendekeza ovyo! We hujui kua kwenye Viwanja vya ndege CCTV zipo kitambo na Madawa yanapita? Badala ya kusema tumpe muda na tumuombee amudu kazi yake vizuri wewe unaleta uvivu wako wa kujipendekeza ovyo.
Hilo lijamaa ni zumbukuku
 
Kwa magufuli kila goti litapigwa Tanzania imepata bonge la kiongozi.

HApo kunae shida sana watendaji wake sasa watazi vyolonga hizo CCTV mpaka zikome watu walisha zoea sana mtelemko tukalemaazika kabisa kila issue iwe ni deal na ndio maana value ya T Shilling imekuwa ni shida ukishika laki baada ya 30mins huna hiyo pesaulicho nunua hujui.

Kisa kikubwa ni ukusanyaji wa kodi mfinyooo na importation kubwaaaaa kupita maelezo, Madini wanyama maliasili zote pesa zaingia mikononi mwa wajanja.
 
ni ufinyu wa kufikiri tu ndiwo unaoweza kumfanya mtu ashindwe kuona kuwa huu ni mchezo wa kuigiza tu kama mingine ambayo serikali ya CCM imekuwa ikiifanya miaka nenda rudi kuhusu tatizo hili.

drugs hazipitishiwagi bandarini - serikali na vyombo vyake vinalijua hili kiukamilifu. pale airport CCTV zipo but vitu vinapita pale pale kama mafuriko ya El Nino.

swali la msingi.....ina maana kweli kabisa serikali imeshindwa ku-trace tatizo hili bottom-up, i.e kwa kuwatumia watumiaji wa hizi drugs? hili halihitaji diploma ya chuo, achilia mbali digrii.
Madawa ya kulevya mengi yanakuja kupitia meli na huwa yanaondoka kupitia airport
 
Watanzania watu wa ajaibu sana nasema kila siku

Mwizi na mkwepa kodi ametoroka mikononi mwa Polisi

Wataalmu wa Teknohama walifianikisha ukwepaji kodi na wizi

Hizi CCTV zinakuwa operated na wanadamu. Bado kwa akili zetu mbovu kabisa tunaamini hilo ni suluhisho

Wala serikali haihitaji kamaera hata moja. System au mfumo ukiwa mzuri wezi watajulikana tu kuanzia kontena linapakiwa hadi linatoka. Yaani kuna tracking sysytem ambayo hatua moja ikienda hovyo zingine hazifaninikiwi

Hizi ni dalili za kukosa maarifa na akusihiwa na pumzi. Mwizi ametoroka chini ya ulinzi, eti kamera iliyo ning'inia itaweza !

#Hapakazi #Hapakurupuka

Nyani Ngabu The Boss
 
Sisi ni taifa la ajabu sana

na anaeshabikia hayo ni muandishi wa habari
anaipamba hiyo habari kama vile muarobaini umepatikana
na waliotorosha kontena za mwanzo kesi hakuna bado...
 
Ni nzuri sana maana kontena lolote likitoka mzee wa kamera analiona iyo nzuri..unga unakua ndani ya kontena na wanajaza kuwa ni nyembe au pampers.. Cctv hazitambui unga ni kujua mzunguko wa kontena na uwizi..mbona zipo airport pale kitambo na watu wanasafirisha Pembe za Ndovu ambazo hata kwa kupapasa tuu zinaonekana lakini kamera zile huwa hazioni zinaishia kuona vyura na kobe tuu wanaotoroshwa..

Unaweza kuwa una hoja hapa...lakini kumbuka hizo ni sehemu moja tu ya mikakati iliyopo kukabiliana na tatizo..mikakati mingine ipo, nadhani, nayo ni kuwa na watu makini, kupiga vita rushwa, kuwaondoa wabobezi wa wizi na kadhalika.
 
Ni nzuri sana maana kontena lolote likitoka mzee wa kamera analiona iyo nzuri..unga unakua ndani ya kontena na wanajaza kuwa ni nyembe au pampers.. Cctv hazitambui unga ni kujua mzunguko wa kontena na uwizi..mbona zipo airport pale kitambo na watu wanasafirisha Pembe za Ndovu ambazo hata kwa kupapasa tuu zinaonekana lakini kamera zile huwa hazioni zinaishia kuona vyura na kobe tuu wanaotoroshwa..
bandari kuna scarner mpya kutoka china.,....
zinasimamiwa na high technology security,....security ya bandari si mchezo bandugu,.
.kuiba now ni ngumu sana bandarini
 
Watu wengi wameshindwa kuelewa kinachoendelea na matokeo yake wamechukulia maneno ya Mwandishi wa Gazeti la Jamhuri, hasa hapo panoposema "Unga basi" kama ndio biashara ya Madawa itatokomezwa na biashara hiyo itakuwa basi, kitu amabacho hakiwezekani.

Ukweli ni ikwamba Mwandishi ni kama Mwandishi yoyote yule, anapamba Habari yake ili kuuza.

Lengo kubwa hapo ni kuwa Bandarini kumefungwa CCTV, kitu ambacho si kibaya.

Na hata itakapotokea tukio lolote ambalo itatakiwa kuangalia/kuangaliwa au ushahidi, watakachofanya ni kurudisha nyuma mkanda siku husika ya tukio na kupata kile wanachokitaka.

Na hii yote inaonesha kuwa wahusika wakuu wa Bandarini wanaogopa na wanawajibika kiasi fulani kutokana na mfululizo wa baadhi ya Wafanyakazi kutoka idara tofauti kuachishwa/kusimamishwa kazi, na wao wanajitahidi kuonekana wanajituma.

Sasa unafikiri ni kwasababu ya nini?

Jibu ni Magufuli
 
Bongo ishu sio vifaa bali ni utendaji wa watumishi. Mwakye aliiweka mitambo airport na bado madudu yalijitokeza.
 
Bonge la madiliko. 2020 Prof. Sospeter Mhongo, lazima Tz iwe ya Kwanza tu kwa ukuaji wa uchumi.
 
Bonge la madiliko. 2020 Prof. Sospeter Mhongo, lazima Tz iwe ya Kwanza tu kwa ukuaji wa uchumi.
 
Bonge la madiliko. 2020 Prof. Sospeter Mhongo, lazima Tz iwe ya Kwanza tu kwa ukuaji wa uchumi.
 
Back
Top Bottom