Mabadiliko Bandari ya Dar: Wafunga CCTV 480

Mabadiliko Bandari ya Dar: Wafunga CCTV 480

ni ufinyu wa kufikiri tu ndiwo unaoweza kumfanya mtu ashindwe kuona kuwa huu ni mchezo wa kuigiza tu kama mingine ambayo serikali ya CCM imekuwa ikiifanya miaka nenda rudi kuhusu tatizo hili.

drugs hazipitishiwagi bandarini - serikali na vyombo vyake vinalijua hili kiukamilifu. pale airport CCTV zipo but vitu vinapita pale pale kama mafuriko ya El Nino.

swali la msingi.....ina maana kweli kabisa serikali imeshindwa ku-trace tatizo hili bottom-up, i.e kwa kuwatumia watumiaji wa hizi drugs? hili halihitaji diploma ya chuo, achilia mbali digrii.
 
Utekelezaji na kitu cha msingi, tusubiri tuone.
 
Mtaani unga huko mwingi tu,kwanza asilimia kubwa unga unaoletwa na kuingizwa nchini haupiti bandarini
Naomba kuuliza kama huko mitaani bado wala unga wanaendelea kuupata kirahisi. Kama bado basi serikali imepigwa chenga na hawa watu.
 
12552607_1029487690449022_5416740166358221777_n.jpg
hilo duka la wauza unga bandari lipo geti namba ngapi...
 
Unga
ni ufinyu wa kufikiri tu ndiwo unaoweza kumfanya mtu ashindwe kuona kuwa huu ni mchezo wa kuigiza tu kama mingine ambayo serikali ya CCM imekuwa ikiifanya miaka nenda rudi kuhusu tatizo hili.

drugs hazipitishiwagi bandarini - serikali na vyombo vyake vinalijua hili kiukamilifu. pale airport CCTV zipo but vitu vinapita pale pale kama mafuriko ya El Nino.

swali la msingi.....ina maana kweli kabisa serikali imeshindwa ku-trace tatizo hili bottom-up, i.e kwa kuwatumia watumiaji wa hizi drugs? hili halihitaji diploma ya chuo, achilia mbali digrii.
Unga umekuwa ukiingizwa Tanzania tangia miaka ya 90 Tanzania ni kama transit tu,mzigo ukiingia baadhi ya mzigo watu wana distribute kwenda southern Africa na ulayaa
Unga unaingizwa Sana kwa njiaa ya maboti ambao huletwa na wapakistan na wairan
 
Hata China kwenye sheria kali bado madawa yanaingia, Asante Magufuli kwa kuonyesha utubu uthubutu
Pamoja na umakini huo unaosema bado madawa ya kulevya yanaingia. Hivyo huu ni mwanzo mzuri kwa Tanzania pia kupunguza uingizwaji wa dawa hizi haramu. Na haina maana kama ni China tu imeweza basi kusiwepo efforts za Tanzania kuzuia maafa yasitokee utakuwa ni ujuha
Naomba kuuliza kama huko mitaani bado wala unga wanaendelea kuupata kirahisi. Kama bado basi serikali imepigwa chenga na hawa watu.
China pekee ndiyo Nchi iliyomakini katika hayo masuala ya kushughulikia wauza ngada.. kibongo bongo itakuwa sinema mpya

Kwahiyo.....
CCTV zimekua installed kwaajili ya uthibiti wa unga pekee😕
 
halafu naona gazeti linaongelea kuhusu flowmeters za dizeli.

mbona zipo pale banadarini kama sijakosea huu ni mwaka wa 12 sasa.. lakini watu bado wameendelea kupiga gendo kwa kwenda mbele pale?

usanii mwengine huu!

JPM anaweza kuwa na nia njema but aangalie sana watu wanaomzunguka....tusijerudi kulekule eti "alishauriwa vibaya". 2020 siyo mbali na Lowasa & co are lurking!!
 
Unga

Unga umekuwa ukiingizwa Tanzania tangia miaka ya 90 Tanzania ni kama transit tu,mzigo ukiingia baadhi ya mzigo watu wana distribute kwenda southern Africa na ulayaa
Unga unaingizwa Sana kwa njiaa ya maboti ambao huletwa na wapakistan na wairan

tu-assume uko sahihi na usemi wako "njiaa ya maboti".

sasa hizi boti zinashusha mzigo kupitia bandarini? au CCTV ziwekwa kwenye coastline yote Mtwara to Tanga???
 
Kwa magufuli kila goti litapigwa Tanzania imepata bonge la kiongozi.
Yaani watanzania kama wewe ni wanafki kweli, mmekaa kusifia sifia ovyo,kujipendekeza pendekeza hovyo! UKufuru za kijinga hizi. We hujui kua kwenye Viwanja vya ndege CCTV Zipo na Madawa yanapotea tu?
 
Kwa magufuli kila goti litapigwa Tanzania imepata bonge la kiongozi.
Watu kama wewe ni wanafki sana! Yaani imekaa kusifia sifia ovyo tu,kujipendekeza ovyo! We hujui kua kwenye Viwanja vya ndege CCTV zipo kitambo na Madawa yanapita? Badala ya kusema tumpe muda na tumuombee amudu kazi yake vizuri wewe unaleta uvivu wako wa kujipendekeza ovyo.
 
tu-assume uko sahihi na usemi wako "njiaa ya maboti".

sasa hizi boti zinashusha mzigo kupitia bandarini? au CCTV ziwekwa kwenye coastline yote Mtwara to Tanga???
Zamani watu walikuwa wanaenda kwa madevu kubeba unga kwa njia ya kumeza unga na kuuleta nchini ambapo mtu mmoja anameza kg1 au 2
Sahv unga unaletwa kg 200 mpaka 400 kwa wakati mmoja,Tanzania ndy sehemu yenye upatikanaji wa unga kwa bei rahisi Sana,hzo CCTV lbda zitazuia uwizi wa kontena syo madawa
 
Back
Top Bottom