Mabadiliko Bandari ya Dar: Wafunga CCTV 480

Mabadiliko Bandari ya Dar: Wafunga CCTV 480

Watu kama wewe ni wanafki sana! Yaani imekaa kusifia sifia ovyo tu,kujipendekeza ovyo! We hujui kua kwenye Viwanja vya ndege CCTV zipo kitambo na Madawa yanapita? Badala ya kusema tumpe muda na tumuombee amudu kazi yake vizuri wewe unaleta uvivu wako wa kujipendekeza ovyo.
We kiazi tulia dawa iingie mlizoea kufanya ufisadi na lile zee lenu la ufisadi poleni,kwa magufuli kila goti litapigwa.
 
Pamoja na umakini huo unaosema bado madawa ya kulevya yanaingia. Hivyo huu ni mwanzo mzuri kwa Tanzania pia kupunguza uingizwaji wa dawa hizi haramu. Na haina maana kama ni China tu imeweza basi kusiwepo efforts za Tanzania kuzuia maafa yasitokee utakuwa ni ujuha

Thanx; it takes 2 to tangle! Juhudi za china lazima ziwe supplimented kwa nguvu ile ile kwenye source markets au conduit countries including Tanzania; sasa wachina wakipambana sisi huku tukawalea katu hawataweza kufanikiwa na wasipofanikiwa sote tumefail!
 
Hivi CCTV camera zinaweza kupiga selfie ?
Ekotiteee
Kanga foto
 
bara bara ya morogoro inaingiza bangi nyingi sana watafunga camera gani 360 au!?
 
Ujinga ni pamoja kumpa Uungu binadamu.


Nmemshangaa sana Simiyu Yetu! Hata kama kusifia, haijakaa vema binadam apewe sifa za Muumba, kama kuna binadam anaweza kutoa pumzi kwa Dakika moja tu kwa walimwengu angalau angepewa sifa hizo, lakini Mungu akituziba pumzi binadam wote kwa Dakika moja na akaamuru si kuna binadam munawasifia, waambie wawape hizo pumzi kwa sekunde angalu 30!

Tuache mambo ya dini yabak kama yalivyo, tusichanganye na ya kiulimwengu hasa hizi SIASA!
 
Hao wahindi wana mambo ya kishenzi sana. Wandhani sisi waafrika hatuji lolote. Hivi unamlipa mtu dola 500 kwenye bahasha halafu kwenye salary slip inaonyesha laki 5. then unakuja kumfukuza kazi bila kosa. Enyi wahindi, angalieni muda wenu wa kutuibia umekwisha kabisa.
 
Wanajf kwa kujidanganya hawajambo,
reality ni kwamba unga utaendelea kuingia kama kawaida hata waweke military satelite,


madawa yanaingia UNITED STATE OF AMERICA ,itakuwa hapa bongoland?
 
Mashetani utawajua tu mtaisoma tu mwaka .....kwa magufuli kila goti litapigwa tu.
We ni lazima uwe na matatizo. Wengine hatunw shida na anachofanya JPJM; Honestly tuache ushabiki hatafikia mahali pa kupigiwa magoti. Watakaofanya hivyo ni wale wenye nidhamu ya woga maana ha MUNGU anapigiwa magoti kwa heshima na upendo, siyo woga. MUNGU pekee anastahili heshima na utukufu wa jinsi hiyo. Nafikiri utakuwa umeelewa!
 
Watanzania tuliomba sana kumpata raisi. Na hatimaye Mungu akatupa Magufuli, mchukia rushwa na ufisadi. Ee Mungu mlinde raisi wetu.
 
hata uwanja wa ndege kuna camera za kutosha za CCTV lakini masogange alipita na mabegi makubwa zaidi ya matatu bila kuonekana hadi alipokamatwa south,
 
Ina maana hii bandari haikuwa zimefungwa kamera kwa miaka yote hiyo ?????
 
Mbona JKN Airport pamoja na CCTV Mwakyembe alishuhudia maajabu! Mwanacheni binandamu aitwe binadamu na si Ng'ombe wala kuku.
 
Back
Top Bottom