Mabadiliko Bandari ya Dar: Wafunga CCTV 480

Mabadiliko Bandari ya Dar: Wafunga CCTV 480

KWA HIYO WALE WAPIGAJI WA GETI NUMBER 5 NDIO MWISHO WAO UMEFIKA......
 
Lakini NDIYO nchi inayoongoza kwa kuuza unga licha ya sheria kali lakini mzigo unapitishwa kwa wingi uchina kuliko nchi yeyote ile......
China pekee ndiyo Nchi iliyomakini katika hayo masuala ya kushughulikia wauza ngada.. kibongo bongo itakuwa sinema mpya
akini
 
Getting Real......🙂 Tuanzie kujitazama wenyewe kumaliza ufisadi sote tunatakiwa tutie NIA!
 
Hizo cctv zinachezwa na contena zitapigwa bao
 
Hizo cctv zinachezwa na contena zitapigwa bao
Airports kuna CCTV kila mahali na bado Mizigo ya Abiriwa inafunguliwa na Kuibiwa, Madawa ya Kulevya yanapita kila siku!!
 
12552607_1029487690449022_5416740166358221777_n.jpg
cdhan kma kufanya ivyo kutaepusha upitishaji wa mali zisizo halali ila muhimu ni uwajibikaji wa hali ya juu kwa viongozi na watumish wote wa bandar muhimu sana ni uwaminifu tuu
 
Halafu kwa taaarifa za uhakika nilizonazo kutoka vyanzo vya uhakika ni kwamba...!

Hizo kamera zinasomwa kutokea IKULU, yaaaanii seva na monita zake zipo ikulu...!

Sasa hapo tuone kama kuna MWANANZENGO ataleta wehu wake wa kujaribu kutempa na ishu za bandarini...!

#whatwouldmagufulido
 
Ccm wanacheka na kujitekenya waibe wao.. Wakamatane wao.. Wapeane miez miwili ya kulipa...

Ccm ni Ile Ile.. Tanzania mpya haitatokea km ccm itaendelea kushikila madaraka ili Hali wamekataliwa kwenye sanduku la kura
 
Back
Top Bottom