singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Kwa magufuli kila goti litapigwa Tanzania imepata bonge la kiongozi.
Pamoja na umakini huo unaosema bado madawa ya kulevya yanaingia. Hivyo huu ni mwanzo mzuri kwa Tanzania pia kupunguza uingizwaji wa dawa hizi haramu. Na haina maana kama ni China tu imeweza basi kusiwepo efforts za Tanzania kuzuia maafa yasitokee utakuwa ni ujuhaChina pekee ndiyo Nchi iliyomakini katika hayo masuala ya kushughulikia wauza ngada.. kibongo bongo itakuwa sinema mpya
Yawezekana stock Bado imejaa mitaani. Hata hivyo, swala la ngada ni la kidunia.Naomba kuuliza kama huko mitaani bado wala unga wanaendelea kuupata kirahisi. Kama bado basi serikali imepigwa chenga na hawa watu.
Labda..!Kwa magufuli kila goti litapigwa Tanzania imepata bonge la kiongozi.
Tengeni Na siku yake maalum kwa ajili kumwabudu Na kumpa sifa maana anafanya makubwaKwa magufuli kila goti litapigwa Tanzania imepata bonge la kiongozi.
Mkuuu asante nilifikir km wewe, sina imani sana Na hilo zoezi sana sana yatakamatwa matukio ya ajabu ajabu tuKwani hizo monitor za kuangalia matukio Zitakua kwa JPM au kwa Majaliwa?