Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

TBC inatumika kisiasa...na kupendelea kuonyesha habari za upande mmoja..jana cuf walikubaliwa kurushwa live kwa kuwa cuf ni mshirika wa karibu na ccm..i hate TBCCM
 
Na mimi kuanzia leo,ni marufuku kwenye Hotel zangu na nyumbani wafanyakazi kuwasha tbc labda vyumbani kwani siwezi zuia wateja.
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa cdm na nakusudia kupata kadi yangu siku za karibuni. Pamoja na ushabiki wangu naona kama maazimio ya kamat kuu yamejaa jazba na wrong framing ya maneno. Kwa mfano Msajili wa vyama hawezi kuomba msamaha ila radhi. nk. Halafu Msajili anapata nguvu kutokana na sheria zinazomlinda. Kwa hiyo tatizo si Teendwa bali ni sheria zilizopo. You appeal against the law not Teendwa.

Kwahiyo kumbe kufanya upendeleo nd kufuata sheria?
 
Kuna aina mbili za maamuzi magumu...1>maamuzi magumu yalio sahihi 2>maamuzi magumu yasio sahihi.....Always CDM inafanya maamuzi magumu YALIO SAHIHI..na kutokana na hilo na mengine mengi tuu kuna nifanya na mimi ambae nilikua sipendi kushabikia siasa nianze tena kwa CDM...Viva CDM...
 
attachment.php


Again, Zitto was not in the meeting!
 
Huyu Diwani wa Kitangiri Henry Matata alishindwa kwenye kura za maoni ndani ya ccm kwenye uchaguzi uliopita na ndipo alipopata nafasi kugombea kupitia CHADEMA na kushinda, lakini damu yake huyu jamaa bado ni ccm mimi sioni cha ajabu kufukuzwa na kuachishwa uwanachama kwani alikuwa ni sumu kali ndani ya CHADEMA, safi sana mbowe pamoja na kamati yako.
 
Wasije wakawasusia na wananchi tu. Naona hii ni sera mpya, kususa. Haya mbona polisi hamjawasusa?
 
Kinachofurahisha kwa CDM you are too innovative in politics, haya mambo ya kususia bidhaa tumekuwa tukiyasikia ulaya na marekani leo CDM mnaingiza new product kwa siasa za tanzania.Poleni TBC mtalijua jiji
 
Hapo kwa namba 7 (saba) nawapa hi5, kwani mtoto akililia wembe mpe umkate, please tupeni ratiba hiyo kwani mpaka panya watasakwa in that operation. That is great. Viva M4C.
 
hapo kwenye red, Hizi ni siasa za chuki,visasi na kulipizana visasi ndio mana mkishindwa mnaamua kuuwa
wewe tulia kama upo mtungini unaogopa kunyolewa, hiyo ndio M4C, mwambie atayalishe wale vijana wake wa fujo na awanunulie viroba vya konyagi
 
ivi wadau zitto kabwe yupo wapi ama yeye sio member wa kamati kuu?? binafsi mie ni mshabiki mkubwa wa zitto ila mienendo yake inashangaza kweli...marafiki zake mshaurini kijana huyu asipoteee kabisa
 
ivi wadau zitto kabwe yupo wapi ama yeye sio member wa kamati kuu?? binafsi mie ni mshabiki mkubwa wa zitto ila mienendo yake inashangaza kweli...marafiki zake mshaurini kijana huyu asipoteee kabisa

mkuu huyo dogo alievuliwa udiwani pamoja na mwenzake ni marafiki wa Zzk.
 
The same old story.

Ninawaasa wananchi masikini kutokuwa mbele kwenye hayo maandamano ili na wao viongozi wapeleke misiba kwenye nyumba zao. Iweje wajiite wapigania ukombozi lakini wanaouwawa na kujeruhiwa ni masikini tu na sio wao viongozi?

Hilo swali waulize policcm wao ndo wanaua.
 
Watanzania wapenda haki na maendeleo tuisusie TBC TV kwa ku activate parental control lock. Age limit ni miaka 100 na kuendelea ili vikongwe peke yao ambao hawana future na nchi hii ndio wabakie kuangalia.

TBCCM haikubaliki, tushirikiane kuitokomeza...
 
Back
Top Bottom