Tatizo la watanzania kwa sasa ni siasa tena za kulalia upande mmoja. watu wanapenda kusikia kile wanachokipenda hata kama kina kasoro za wazi.kwa Kamati kuu ya chadema ingefanya evaluation kwa kujiangalia yenyewe pia baada ya mauaji kadhaa ambayo binafi naamini without M4C yasingetokea. nadhani imani ya waliyoweza kuiwin kwa wananchi wangeitumia kumobilize watu katika shughuli za maendeleo kwa mfano ujenzi wa shule, zahanati, kilimo tena kwa kutumia fedha wanazowachangisha wananchi na siyo kupiga blah.., blah.. ambazo hazitusaidii sana kwa sasa.mbinu hii aliitumia mwalimu kipindi kile cha ujamaa na ililileta mafanikio makubwa kisiasa na kijamii. jamani tuweke uzalendo kwanza siasa zifuate baadae...., otherwise hatutofika. kila siku tutakua tunadai mabadiliko ambayo ndani yake hayana msingi.