Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

WeWe W. J. Malecela nilifikiri una akili sana kutokana na jina lako< kumbe una pumba kumzidi yule orijino, ambae alig'ania kugombea ubunge mpaka akakataliwa kwenye kura za maoni. Si angestaafu toka alivyoachishwa kazi na Nyerere? hana haya, hata huyo mkewe mpya kakubalika, kuliko yeye.

Kilaza katoka nje ya topic. Umezidiwa?
 
Sasa Chadema kinazidi kujidhihiisha kuwa na chama cha kidini na hasa Ukatoliki ambao kasomea Slaa, walikuwa wapi kulaani kwa nguvu watu wa Pemba walipouwa kipindi wanaandamana? sio hawa walithubutu kusema kuwa CUF inapaswa kulaumiwa kwa kukataa kutii amri ya Polis? na huyu Kikwete walisema ni chaguo la Mungu, iweje leo awe chaguo la shetani? au kwa sababu kaondoa memorandum of understanding?
Tags <kukemea>,<pemba>,<CUF><slaa> Sasa hapo CDM kimekuwaje cha kidini sijakuelewa una maanisha nini kama ni kusema unasemea mdomo upi.
 
- Ukiona viongozi wa taifa wanaanza ku-quote Biblia badala ya Katiba ya Jamhuri, katika kuhalalisha vitendo vya serikali maana yake ni moja tu kwamba hao viongozi na serikali nzima ni mufilisi, wanahitaji kuondolewa mara moja!

William.

Mkuu umepiga Ikulu asante sana!
 
Maaskofu wa madhehebu ya Kikristu mkoani Arusha wamemkemea Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba, kwa kuitumia Biblia takatifu kuhalalisha uovu; wakamtaka aache tabia hiyo mara moja.

Maaskofu hao wakiongozwa na Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati, Thomas Laizer, aliyezungumza kwa niaba wenzake katika mazishi ya wahanga wa maandamano ya Arusha, alisisitiza kwamba wataendelea kuikosoa serikali na chama chochote kile pindi kinapokosea.

Kauli ya Makamba iliyowakera maaskofu hao, na ambayo amekuwa akiirudia mara kwa mara, ni ile aliyotumia kuwakejeli kwa kunukuu maandiko matakatifu ya Kurani na Biblia akisema tiini mamlaka iliyo kuu. Walisema ufahamu wa Makamba ni finyu katika kutafsiri maana halisi ya neno hilo.

Kama serikali wameamua kutuvunjia heshima, basi wasimame kwenye majukwaaa kutetea uovu wao, na sisi tutasimama kwa ajili ya kupinga uovu wao, tuone Mungu atamsikia nani alisema Askofu Laizer.

''Maaskofu wamesikitishwa na kauli yake na pia kauli ya Katibu wa CCM mkoa wa Arusha, Mary Chatanda kuwataka kuvua majoho na kuingia katika siasa kwani ni kuwavunjia heshima,'' alisema askofu Laizer.

Source: Tanzania Daima

Kumekucha!! Amezoea sana kukopa maneno ya Biblia ili kuhalalisha uovu unaofanywa na sisiem na mafisadi wake. Hata alipokuwa mkuu wa mkoa wa dsm alikuwa na tabia hiyo. Sasa amepata ukweli wake.
 
Nimefuatilia post zako nyingi, naanza kuhisi una ugonjwa mbaya uitwao udininisms. nakusaidia dawa jaribu kutafuta vitabu vya falsafa unaweza kupata nafuu au ukapona kabisa maradhi hayo. pia unaweza kumwona A. Mihanjo (phD) kwa msaada zaidi.

Umesahau kidogo maelekezo. Inatakiwa asome hicho kitabu cha falsafa mara tatu kutwa kwa muda wa wiki mbili.
 
WeWe W. J. Malecela nilifikiri una akili sana kutokana na jina lako< kumbe una pumba kumzidi yule orijino, ambae alig'ania kugombea ubunge mpaka akakataliwa kwenye kura za maoni. Si angestaafu toka alivyoachishwa kazi na Nyerere? hana haya, hata huyo mkewe mpya kakubalika, kuliko yeye.


rihanna-arabisches-tattoo.jpg
 
yani lugha ambayo watu wanapigwa makonzi huko madrasa ili waielewe yeye kaiandika kwapani ? ayaaa
Hata hao kina zombe sijui MS aka muhogomchungu kazi yao ni kupiga kelele tu humu hawaijui hiyo lugha ya waarabu mazombe kwelikwei.
 
Zoba njoo utupe tafsiri ya hiyo aya chini ya kwapa!
Ataweza wapi yeye kaambiwa apinge kila watakacholeta JF wakisema yes wewe sema no wakisema no wewe yes kama roboti vile. Leo tunasema Makamba anapotosha jamii yeye anasema hapotoshi kesho tukisema aendelee na ukatibu kwa sababu anasaidia upinzani utaona anageuka tena aondoke alimradi yupo yupo tu hajui kinachoendelea, tumeyazoea hao acha tulipeleke peleke ki zobazoba.
 
si unajuwa waislam hawakusoma? lkn ndio rais, makamo, jaji mkuu, polisi mkuu
Acha kupandikiza chuki kati ya Uislamu na Ukristo we Kima sababu naona unalengo Maalumu lakuwatibua Waislamu ili ishu ya jana ihusishwe na Udini,kamwe hutafanikiwa.Tunajidili maswala ya msingi ya Kitaifa sio kuwagawa Watu kwa Itikadi zao za Kidini.
 
WeWe W. J. Malecela nilifikiri una akili sana kutokana na jina lako< kumbe una pumba kumzidi yule orijino, ambae alig'ania kugombea ubunge mpaka akakataliwa kwenye kura za maoni. Si angestaafu toka alivyoachishwa kazi na Nyerere? hana haya, hata huyo mkewe mpya kakubalika, kuliko yeye.

- Ukiona mwenye akili kama wewe anatumia muda wake kumjibu asiye na aikili kama mimi, Ina maana kwamba ujumbe umefika ahsante sana mkuu kwa kukubali ujumbe, kwamba ukiona viongozi wa taifa wanatumia Biblia, badala ya Katiba kuhalalisha vitendo vya serikali, basi ujue viongozi hao na serikali nzima ni mufilisi, na wanahitaji kuondoka madarakani mara moja!

- Naona message sent, delivered! & Received, tumekusikia mkuu!


William
 
Back
Top Bottom