Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

Dhambi na laana ya kumuasi Mungu ni kubwa sana. Dhambi na laana hiyo vitamuandama Dr Slaa mpaka kaburini.

Alimuasi Mungu, akamuasi mke wake wa kwanza, ameasi ukombozi wa watanzania na sasa atajiasi yeye mwenyewe.
 
Pole sana padri kwa kuumizwa, lakini usitake kutukwamisha watanzania mtu hata kama kaiba lakini sisi tumeona huyo ndio mwenye uafadhali kuliko wengine. Ipi bora kati ya kuaminiwa na wananchi au kuaminiwa na baadhi ya watu,?
 
Mbona mbatia Leo kasema wake kimia kuna mini hapo? kwenye akili tunajua,

slaa amesema wajibu ili sasa waanze mapambano.huu ni ujinga tukobize na harakati za kulikomboa taifa hatuwezi kuacha kazi ya kuwakomboa watanzania zaidi ya milion 46 kwasababu ya kujibizana na mnafiki moja aliyetumwa na watu wasiozidi mia.kama anaona lowasa na sumaye ni wezi serikali ya jk bado ipo hajaondoka amshauri jk wampeleke lowasa mahakamani.kama uwezo huo hana asubiri baada ya uchaguzi tutamjibu
 
Dr slaa na lipumba kila mmoja alitaka kugombea urais unadhani madogo hayo![/QUOTE
]
Tatizo sio urais kwani slaa alipomtaja kwenye list of shame kurikuwepo urais pia,alipoyasema hayo 2010 lowasa alikuwepo kwenye urais?

Mkuu hasante tunataka watu wanoshirikisha kichwa kama wew dr ,sio kigeugeu kama wanasiasa wengine dr, wa 2010 ,ndiye huyu huyu wa 2015 tatizo letu ni ushabiki zaidi kuliko uhalisia huyu EL amekivuruga sana chama sijui hata mnyika yuko wapi na ubunge wake
 
dr slaa kashindwa upadri, kashindwa ndoa, kashindwa siasa na kashindwa ukweli, sijui alikula maharage ya wapi maskini.
 
Iwapo Lipumba amesahaulika, hata Dr Slaa naye atasahaulika tu! UKAWA itaendelea kusonga mbele!
 
Nilisema Slaa ni mtu mwenye tamaa, michadema ikanitukana. Sasa mnashuhudia uccm wake?
 
Vyovyote vile iwavyo kura yangu ni kwa Lowassa wala sihitaji kampeni
 
Wapi audio wewe, Gwajima bila audio hainogagi hata!
Wanadaigi picha, mi wayego bila audio ya Gwajima sikuelewi!
 
Mimi naona Dr. Slaa amewaharibia zaid Ccm na kuwapaisha Chadema Mara 100. Mana inaonyesha ni jinsi gani Ccm inavyotumia mbinu chafu za kunnua watu (viongoz Wa upinzan) ili kiendelee kubaki madarakan kwa dhurma. Nasikitika zaidi kwa haya kufanywa NA MTU aliyepigana kufa NA kupona kuhakikisha Ccm NA serikal yake inakaa pembeni.

Kina chichi hi rush a Dr. Slaa kanunuliwa na Ccm ni namna ya mkutano wake ulivyoratibiwa NA namna alivyokuwa anawasilisha hoja zake.

Swali tunaojiuliza je! Baada ya kusema yoooote aliyoyasema je ndio tuichague Ccm na mafisadi wao???? List of shame I like S's na majina zaid ya 10. Lowassa ni mmoja kahamia CDM. Wengine woooote wamebaki Ccm sa kwa kuikataa Chadema kwa kuwa Ina mmoja tu Kati ya 11 na kuikubal Ccm ilobak NA watu 10 waliokuwa kwenye ile list itakuwa ni akili au matope??? Is it really logical?

Dr. Slaa ni mbinafsi na atahukumiwa kwa hili. Yeye km Padre mstaafu sikuona haja ya kuendelea kubwabwaja kuhusu maamuz ya lowassa kuingia CDM mana biblia imeweka wazi namna ya MTU anavyoweza kujutia makosa take na kuamua kuungama na kuanza maisha mapya. Cha ajabu kwa lowassa kufanya hivyo ni nn?Naona Dr. Amesahau kabisa kuwa hata yeye CDM ni muhamiaji toka Ccm. Kama anaamin CDM ni tassisi iliyojengwa ktk misingi ya kupiga tushwa ufisadi kwann basi asiamin kuwa itamshape Lowassa kufwata misingi hiyo? Je ni halali kwa padre au askofu kuacha upadre au uaskofu kwakuwa mwenyr dhambi tuseme muuaji kaamua kutubu na kuokoka?

Lakin pia nilitegemea aelezee pia ufisadi Wa magufuli na team nzima ya Ccm ili kustrike a balance ili wananchi tuamue vzr. Cha ajabu Dr. Slaa ameamua kwa maksudi mazima kuwa bias/kuegemea upande mmoja. Swami tunalojiuliza watanzania je kafanya haya kwa maslahi ya Nani? Ni kwel uchungu Wa nchi hii/uzalendo ndio uliomsukuma? Kama angalikiwa mzalendo angeingelea mambo machafu yanayofanywa NA serikal ya Ccm km ufisadi wWa escrow, mikataba ya/sheria za fastafasta ya madini na gesi, Deni LA taifa, fine za wakandarasi 900bil kwa kuchelewesha malipo yao n.k.

Richmond anayong'ang'ana nayo haizid 300bil. Deni LA kizembe kwa kutokuwalipa wakandarasi kwa muda ni zaid ya hiyo ya richmond mbona haya hayasemi?
 
Hawa walikuwa kwenye mgao wa escrow hawana jipya .....
 
ana tamaa sana ndio maana alitamani mpaka mke wa mtu halafu juzi kajiita yeye padre sasa padre huwa anaoa?


hahahaa wewe si ulikuwa ukimtetea sana leo hii mbona unaongea maneno ya watu wa lumumba kuhusu rais wa mioyo yenu ?
 
Mimi naona Dr. Slaa amewaharibia zaid Ccm na kuwapaisha Chadema Mara 100. Mana inaonyesha ni jinsi gani Ccm inavyotumia mbinu chafu za kunnua watu (viongoz Wa upinzan) ili kiendelee kubaki madarakan kwa dhurma ili waendeleze dhurma kwa watanzania.

Nasikitika zaidi kwa haya kufanywa NA MTU aliyepigana kufa NA kupona kuhakikisha Ccm NA serikal yake inayowanyonya watanzania inakaa pembeni. Kinachodhihirisha kuwa Dr. Slaa kanunuliwa ni namna ya mkutano wake ulivyoratibiwa, unavyorushwa na tbccm na namna alivyokuwa anawasilisha hoja zake.

Swali tunaojiuliza je! Baada ya kusema yoooote aliyoyasema je ndio tuichague Ccm iliyobaki NA mafisadi wengi zaidi ktk list ile ya Dr. Slaa???? List of shame Ilikuwa na majina zaid ya 10. Lowassa ni mmoja kahamia CDM. Wengine woooote wamebaki Ccm sa kwa kuikataa Chadema kwa kuwa Ina mmoja tu Kati ya 11 na kuikubal Ccm ilobak NA watu 10 waliokuwa kwenye ile list itakuwa ni akili au matope??? Is it really logical?

Dr. Slaa ni mbinafsi na atahukumiwa kwa hili. Yeye km Padre mstaafu sikuona haja ya kuendelea kubwabwaja kuhusu maamuz ya lowassa kuingia CDM mana biblia imeweka wazi namna ya MTU anavyoweza kujutia makosa yake na kuamua kuungama na kuanza maisha mapya. Cha ajabu kwa lowassa kufanya hivyo ni nn?Naona Dr. Amesahau kabisa kuwa hata yeye CDM ni muhamiaji toka Ccm. Kama anaamin CDM ni tassisi iliyojengwa ktk misingi ya kupiga tushwa ufisadi kwann basi asiamin kuwa itamshape Lowassa kufwata misingi hiyo? Je ni halali kwa padre au askofu kuacha upadre au uaskofu kwakuwa mwenye dhambi kaamua kutubu na kuokoka??????

Lakin pia nilitegemea aelezee pia ufisadi Wa magufuli na team nzima ya Ccm ili kustrike a balance ili wananchi tuamue vzr. Cha ajabu Dr. Slaa ameamua kwa maksudi mazima kuwa bias/kuegemea upande mmoja. Swali tunalojiuliza watanzania je kafanya haya kwa maslahi ya Nani? Ni kwel uchungu Wa nchi hii/uzalendo ndio uliomsukuma? Kama angalikiwa mzalendo angeongelea mambo machafu yanayofanywa NA serikal ya Ccm km ufisadi wa escrow, mikataba ya/sheria za fastafasta ya madini na gesi, Deni LA taifa, fine za wakandarasi 900bil kwa kuchelewesha malipo yao n.k.

Richmond anayong'ang'ana nayo haizid 300bil. Deni LA kizembe kwa kutokuwalipa wakandarasi kwa wakati ni zaid ya hiyo ya richmond mbona haya hayasemi? Dr. Katumwa, ila awaambie waliomtuma wameshindwa mana aliyoyaongea tulishayakikia 8years ago ila hayajatufanya tutoke kwenye mada kuu ambayo ni kufanya mabadiliko.

MABADILIKOOOOOOOO??????????......Lowassa.

LOWASSAAAAAAA????????????.......Mabadiliko.
 
Nimegundua watanzania hatujui tunataka nini. Hatuna agenda hata hiyo ya mabadiliko. Kama hatuna dira ya tunakoelekea basi tutawapeleka akina Edward wakakalie viti vyao ili waendelee na BAU. Hakuna mabadiliko kama fikra zetu ni hizi.
Dr Slaa ameonyesha kukerwa na ufisadi kwa vitendo. Hongera sana Slaa. Lakini naona shutuma hapa zinazoelekezwa kwake. Yeye kaongea kwa data, ni wajibu wa watu waliotajwa kutueleza kwa data. Evidences alizotoa jana ukweli kama sisi watanzania tuko serious na nchi yetu basi tunapaswa tufikirie kwa dhati nafasi ya mgombea urais wa Chadema.
Kwa kuwa yeye jj flag bearer basi hana budi ajitokeze mbele ya watanzania ajibu tuhuma zile kwa evidence. Otherwise mihemko tulionayo itatupeleka Libya. At least kwa sasa ambapo hajajibu lolote Lowassa hafai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano

Watanzania tunataka katiba mpya inayotokana na wananchi, tunataka tume huru, tunataka Rais apunguziwe madaraka, tunataka mfumo tofauti na huu. Kikwete alikuwa na mbwembwe kama za Magufuri, yako wapi? Tunataka sera tofauti na za CCM, tunataka mabadiliko. Period.
 
Back
Top Bottom