Tena kanda ya Ziwa kuna wapagani wengi kuliko sehemu yoyote Tanzania na Wakristo walioko wengi ni wahamiaji au wale waliotoka wakasoma mikoani. Wengi kanda ya ziwa ni waumini wa ushirikina na ndio maana mauaji ya vikongwe na albino ni dominant maeneo hayo
Takwimu zinaonyesha Wakristo wengi Tanzania wako kanda ya Kaskazini na kusini then Dar. Kwa hiyo hawa maaskofu wanatishia nyau hawana influence yoyote dhidi ya tamko ambalo tayari limepokelewa kwa mikono miwili na Zaidi ya waumini Milioni 15 wa kikristo.
Kuna askofu wa pentekosete alikuwa channel ten kipindi cha tuongee asubuhi(Jina nalibana for now) naye anapinga lakini kumbe alishagombea ubunge kupitia CCM nilichogunduwa hawa ni wachumia njaa wa CCM.