Hapo broo unampigia mbuzi gitaa. Hao majamaa wamelishwa na kumezeshwa fitna na chuki dhidi ya Wakatoliki na Ukatoliki wenyewe. Humwambii kitu.Maishani ni bora ukose mali upate akili ya Kupambanua Mambo Kisomi.Hivi Kipindi kile Yesu alipokula na kunywa na wenye dhambi wakiwemo hao wazinzi,watoza ushuru,wafiraji,mashoga,wezi,nk,Kwa Kufanya hivyo alionyesha Kuwa anakubaliana na tabia zao?.
Utasikia Oh wanakubali ushoga, wanakula na mashoga na blablaa nyingi kana kwamba wao huko aliko hawatendi dhambi, na dhambi ni ushoga tu -hizo zingine sio dhambi.Empty heads