Hajapotea kauliwa na wengi wanasema makonda ndio alimuita mara ya mwisho na atakuwa alipewa go ahead ya baba yakeKiboko kapotea!! Hahahaa watu buana...
Hajapotea kauliwa na wengi wanasema makonda ndio alimuita mara ya mwisho na atakuwa alipewa go ahead ya baba yakeKiboko kapotea!! Hahahaa watu buana...
amejificha huyo yuko haiHajapotea kauliwa na wengi wanasema makonda ndio alimuita mara ya mwisho na atakuwa alipewa go ahead ya baba yake
Mkuu ana phd hewa.Unachokonoa eti ya elimu iwe sababu, mbona makubwa zaidi yameongelewa juu yake na watu wapo.
Tuondolee kisirani hapa.Sawa bibi mbunyu.
Dah so sad mkuu! Hayo maneno yako yamekosa ubinadamuHili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.
Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.
Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Ni kwa sababu ubinadamu hauna undugu na ukweli.Dah so sad mkuu! Hayo maneno yako yamekosa ubinadamu
Siku akijitokeza na kuibukia CCM ? Ndio maana nishaachaga kushabikia siasa za Tz.Only God knows where's our comrade&brother Ben Saanane!!.
But not only that, God knows even those who abducted Ben. Mungu siku zote hamfichi Mnafiki na iko siku inayojulikana na Mungu huu UNYAMA,UDIKTETA, UBEPARI na U-KOLONI Mamboleo wa CCM utakomeshwa...!!!
Yaani Makonda umueite halafu asiposti? Siyo 2 o'clock huyo...Hajapotea kauliwa na wengi wanasema makonda ndio alimuita mara ya mwisho na atakuwa alipewa go ahead ya baba yake
Pumbavu!Eti kapotea!!
kwani akipotea hasara ya nani!!
Apotee vizuri tu
one day tutafahamu tu