Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

L

Lapjuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
219
Points
250
L

Lapjuu

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
219 250
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Shame on you, tuache kumzungumzia Ben tumzungumzie mamako? Au tumzungumzie huyo primitive minded wenu wa magogoni?
Maandishi ya Ben SaananeMwisho wa kumnukuu

Je, huenda post hii ndio ilikuwa sababu ya kutoonekana kwake hadi leo?
 
W

wanaojulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Messages
577
Points
1,000
W

wanaojulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2017
577 1,000
Hii post Kali sana imeandikwa kwa makini sana wale wasiojua kusoma hata "A" tena wazalendo wa nchi hawawezi kukubali ukweli huu
 
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Messages
6,303
Points
2,000
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined May 30, 2015
6,303 2,000
Shame on you, tuache kumzungumzia Ben tumzungumzie mamako? Au tumzungumzie huyo primitive minded wenu wa magogoni?
Mbona unafura povu la genye? kumbe Ben aliacha mjane eh?
 
AlP0L0

AlP0L0

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Messages
4,740
Points
2,000
AlP0L0

AlP0L0

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2011
4,740 2,000
Dah! jamaa alikuwa kichwa, nadhani hawakuwa na namana nyengine ya kukabiliana nae Ma prof wote chali hawana hoja.
 
wambagusta

wambagusta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
1,872
Points
2,000
wambagusta

wambagusta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
1,872 2,000
mbowe mbona mpaka Leo akutoa tamko lolote unaonaje hapo mkuu
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
20,924
Points
2,000
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
20,924 2,000
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Siyo rahisi hivyo kusahaulika, Ben na Lissu ni mwiba mbaya kabisa. Trust me.

Those is what we call “gross mistakes”, they will hunt you forever! Trust me!
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
20,924
Points
2,000
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
20,924 2,000
Kitila Mkumbo , alikuwa akimbishia Ben, sasa kapewa ulaji.

Kadri muda unavyokwenda, ndivyo Ben anazidi kukumbukwa badala ya kusahaulika.
 

Forum statistics

Threads 1,307,094
Members 502,332
Posts 31,601,440
Top