Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Asiyefunzwa na mama yake basi huyo atafunzwa na ulimwengu.Rais wetu tulimchagua wenyewe kwa kumkubali yeye na kwa sera za chama chake.Mambo ya PhD hayakuwepo kwenye maaganao yetu ya kumpa uongozi wa nchi.Mambo ya darasani yaache hukohuko.Mbona hakuhoji shahada yake ya kwanza na ya pili?Tunakubali nchi hii kweli kuna watu wanajua sana.Lakini hata ujue sana na kusoma sana huwezi kumtukana baba yako mzazi kuwa hakuwa na sifa za kumuoa mama yako mzazi ambaye ni msomi.
Tunasikitika sana kupotea mtu kwa kitambo chote hiki na tunamuomba Mungu arudi salama huko alikojificha. Lakini kama kweli ni yeye aliyeandika hilo bandiko lako hapo juu la kukashifu kiongozi wa nchi yetu basi Mwenyezi Mungu amrehaemu.
 
Only God knows where's our comrade&brother Ben Saanane!!.
But not only that, God knows even those who abducted Ben. Mungu siku zote hamfichi Mnafiki na iko siku inayojulikana na Mungu huu UNYAMA,UDIKTETA, UBEPARI na U-KOLONI Mamboleo wa CCM utakomeshwa...!!!
Siku akijitokeza na kuibukia CCM ? Ndio maana nishaachaga kushabikia siasa za Tz.
 
Ile dhana ya mtenda akitendewa kawafukuza wenzie kwa fedheha yeye kuanikwa kachukia
 
Hivi watanzania wa kizazi hiki wapo hai kwei au ndio walishafariki? Mi sioni kama Ben kafariki ila naona kama Ben ni mzalendo atakaye kumbukwa daimakwa ujasiri wake wakuweza kupaza sauti yake na kutoa maoni bila kuangalia sura wala cheo kuliko hata watesi wake kama we una paza sauti yako kutetea ukandamizaji,unyonyaji,na injustice wewe sio mtanzania kwa sababu Tanzania sio mali ya mtu mmoja kila mtu ana uhuru wa kuongea
 
Hii ishu ni MJUKUU wahusika wanayo hadi watakapomaliza mda wao duniani aipoi kesho wala kesho kutwa. Kuna kitu kinaitwa dunia na walimwengu mambo ya universe wasiojulikana watajulikana tu,wenyewe akili utumia uchawi wa kizungu ni kuwavuta mezani then wanaacha piga kelele zinapoa.
 
Back
Top Bottom