Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Hata waliomuua Yesu walifikiri kama wewe. Kutothamini uhai wa mtu mmoja kwa sababubya idadi ya watu walio hai kunafanana wakati wa Yesu, leo na siku zote.
 
Damu ya Ben inaendelea kutiririka mikono ya bashite na ally hapi. Baba aliyewatuma ndiye kawa mitsuko cha dunia.
Eti phd sentence ya kiingereza zero. reasoning zero. Subirini hata bachelor na master zihojiwe tu
Haiwezekani kutwa Kuchar unaongelea chemistry ya form one. Eti catalyst catalyst catalyst give us break vyeti fei tu period
Damu bado ya Moto,inawaunguza mpaka waombe msamaha,na kutubu dhambi zao.Vinginevyo hakulaliki,hakukaliki
 
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Maisha ya binadamu Yana thamani Sana.Binadamu mwenyewe Ben Saanane,achana na vyeti vyake nenda kwenye uwezo wa kichwa chake lakini pia ndugu,wazazi,mke na mtoto wake wanawezaje kusema hayo na kumove on?
 
Mkuu nilipost hiyo comment kipindi ambacho hatma ya Ben Sanane ikiwa haijulikani.
Lakini kwa kuwa Mungu ndiye anayeona na kuamua kwa haki, basi tumwachie Yeye.
 
kabisa. napata shida sana kila nikipiga picha PhD kwa papers kwa miaka mitatu na paper hizo hazijachapishwa mahala pa kueleweka na kukubalika. ina maana ni rahisi kiasi hicho kupata PhD chuo kikuu cha Dar es Salaam? yani baada ya kusoma hii hoja ya saanane naanza kupata wasiwasi mkubwa sana na PhD ya huyu mkuu. nataka nifuatilie kwa undani kabisa hili suala nami angalau nijiridhishe. na kipindi hicho chote huyu bwana alikua ofisini full time kama waziri plus shughuli za ubunge. hii inaweza kuchochea wasiwasi zaidi. 3 yrs kwa mtu wa aina yake?? big NO
Vipi,uchunguzi wako umebaini nini?
 
Very sad Mkuu....
Nashangaa mtu anadiriki kusema ,ameshakufa ,tusahau na kumove on.Kama unajua kisa cha George Stinny mtoto mweusi wa kimarekan alionewa na akanyongwa 1944 sababu ya ubaguzi akahukumiwa kwa kuwauwa watoto wa kike wa kizungu.Miaka sabini baadaye inathibitika hakuhusika.Ilitia doa Sana mahakama ya USA.
 
Back
Top Bottom